Msifadhaike kabisa kipyenga kikilia tu wengi watakuja upinzani tila lila

Tila-lila2

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
652
Reaction score
1,058
Mimi ni wa Kijijini na ninatolea mfano kwa mazingira ya huku kwetu Idukilo-Kishapu-Shinyanga. Watu wanafadhaiiiiikaaa eti sijui nani karudi au kaenda kwenye LiChama Tawala na upinzani unazidi kuchoka ! Walaaaaa! Sio hivyo kabisa! Upinzani utakuwa kwa asilimia kubwa sana Mwaka huu - subiri kipenga cha Uchaguzi kilie. Mwaka huu wengi watashangaa nawaambia na sikieni maneno haya. Msifikiri Mbowe, Zito, Maalimu Seif na wengineo wamechoka. Hamna aliyechoka hata!

Maisha ya wanasiasa yanategemea siasa. Kwa yanayoendelea huko CCM kuna wengi watatoka - tena wengi sana. Wanasiasa hawana pensheni ya kila mwezi (acha mawaziri wakuu na Rais labda) kama wastaafu wengine. Wanasiasa mpaka wanakufa wanategemea domo - yaani kupiga siasa. Unafikiri kama Makamba Senior, Membe, Kinana (ingawa huyu nafuu), Wasira, sijui nani yule wangekuwa na pensheni km Majaji waliostaafu na kula pensheni nono kungekuwa na kelele?

Ndiyo maana wanasheria wakaitwa wasomi - wajanja sana. Majaji wanakula tu pensheni na mawakili wanaendelea tu na kesi zenu hata kama wana miaka zaidi ya 80. Wanasisasa wakibanwa hapa au wakikosa maslahi hapa wanaenda kule. Tanzania inakuwa kama Kenya soon, mtu kuhama Chama inaelekea kuwa kawaida tu. Demokrasia inakuwa. Sasa usitegemee sisi wanaCCM tunafurahia kuja kupokwa nafasi zetu huku. Ninaona hapa Idukilo ilivyo.

Juzi juzi mtoto wa Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa toka huku Kishapu ameingizwa kwenye ajira ya ualimu kinyemela kwa sababu ana kadi ya CCM. Watoto wa WanaCCM wengine na wale wengi ambao hawana kadi za CCM wameshuhudia hilo na wapo mtaani. Kilichotokea wamejenga chuki kwa mwenzao kwa sababu ameshindwa kuwajuza kapataje hiyo nafasi. Na hata kama angewajuza kwani kuna nafasi za kuwaajiri? - kwa maana hiyo CCM imepata kura ya huyo mmoja kwa kukosa kura za mamia ambao ni rafiki zake huyo. CCM inafanya bla bla - INAONWA!

Mtu anahamia CCM kwenda kuwapoka wenzake nafasi - na kweli akipitishwa basi atawafanya wengi warudi opposition kwa sababu hata CCM yenyewe haiwezi kuwapa wote. Mfano Mwaka 2015 zaidi ya wanachama 12 waligombea ubunge na kwa mchujo wa ndani tu alibaki mmoja na hawa wengine waliobaki ni wawili tu ambao nawaona angalau walikuwa na kazi zao na wanendelea na maisha, wengine walihamia upinzani kama 3 hivi na waligombea ingawa hawakushinda lkn angalau walionesha kuchukizwa na mchakato.

Usifikirie kuwa machukizo ya namna hii hayatakuwepo mwaka huu, tena yatakuwa mengi sana. Watu wanaotegemea siasa hawana ujanja mwingine, hata kama wamesoma vipi hurudi huko huko kwenye siasa, tofauti na watu wachache ambao waliwahi kubadilika baada ya upepo kuwachenjia - Marehemu Spika S. Sita na Dr. William Shija ambapo kuna wakati siasa ziliwakataa wakaenda kwenye utendaji. Au mfano mwingine ni Dr Mwale Malechela ambaye akijitoa ufahamu na akija na akajaribu kugombea Mwaka huu huu watu watakaomuunga mkono watakuwa wengi sana. Si ajabu hata Membe naye anaweza akamuunga mkono.

Huku Idukilo hakika wengi tupo CCM lkn kwa uongozi huu ama wengi hatutapiga kura ama akija Mpinzani Mjasiri atatupata tu kiurahisi. CCM kuamua kudeal na upinzani kwa namna hii mnasikitisha sana sana. Mnasabisha chuki dhidi ya watu na hata CCM yenyewe inachukiwa. Watu wanavaa tu nguo zenu kwa shinikizo na kwa woga ili waonekane ni watawala, eti tumeshika hatamu, hatamu gani ya kibabe!?

Uchaguzi huu tutashangazwa sana ninawaambia watu wana hali ngumu (hata posts nyingi zinaelezea hali ilivyo) na watapochukua maamuzi magumu hawatakuwa na cha kupoteza. Hawatapoteza na watapata kupitia upinzani. Hata huku wapinzani wetu wamejipanga kulinda kura zao na wana haki na mkituletea wagombea wa hovyo mjue tutawasaidia wapinzani kulinda kura zao ili watushinde. Mnafanya mambo ya hovyo sana kuchukia upinzani.

Kumbukeni wapinzani ni ndugu zetu, na jirani zetu. Dadangu ana mwanae ambaye ni Mbunge wa upinzani lkn anamsomesha mtoto wa mdogo wetu ambaye yeye ni CCM damu damu. Hapo kuna ubaya au faida?

Acheni hizo CCM, tunasubiri tu kipenga, mchakato wa kibabe this time kama wa Serikali za Mtaa hautakwepo na ukifanyika madhara yake yatawarudi na nyie. Na hii post yangu tutaijadili na wanaIdukilo wenzangu jioni pale kijiweni.
 
Maisha ya wanasiasa yanategemea siasa. Kwa yanayoendelea huko CCM kuna wengi watatoka - tena wengi sana. Wanasiasa hawana pensheni ya kila mwezi (acha mawaziri wakuu na Rais labda) kama wastaafu wengine. Wanasiasa mpaka wanakufa wanategemea domo - yaani kupiga siasa. Unafikiri kama Makamba Senior, Membe, Kinana (ingawa huyu nafuu), Wasira, sijui nani yule wangekuwa na pensheni km Majaji waliostaafu na kula pensheni nono kungekuwa na kelele? Ndiyo maana wanasheria wakaitwa wasomi - wajanja sana. Majaji wanakula tu pensheni na mawakili wanaendelea tu na kesi zenu hata kama wana miaka zaidi ya 80. Wanasisasa wakibanwa hapa au wakikosa maslahi hapa wanaenda kule. Tanzania inakuwa kama Kenya soon, mtu kuhama Chama inaelekea kuwa kawaida tu. Demokrasia inakuwa. Sasa usitegemee sisi wanaCCM tunafurahia kuja kupokwa nafasi zetu huku. Ninaona hapa Idukilo ilivyo.

Juzi juzi mtoto wa Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa toka huku Kishapu ameingizwa kwenye ajira ya ualimu kinyemela kwa sababu ana kadi ya CCM. Watoto wa WanaCCM wengine na wale wengi ambao hawana kadi za CCM wameshuhudia hilo na wapo mtaani. Kilichotokea wamejenga chuki kwa mwenzao kwa sababu ameshindwa kuwajuza kapataje hiyo nafasi. Na hata kama angewajuza kwani kuna nafasi za kuwaajiri? - kwa maana hiyo CCM imepata kura ya huyo mmoja kwa kukosa kura za mamia ambao ni rafiki zake huyo. CCM inafanya bla bla - INAONWA!

Mtu anahamia CCM kwenda kuwapoka wenzake nafasi - na kweli akipitishwa basi atawafanya wengi warudi opposition kwa sababu hata CCM yenyewe haiwezi kuwapa wote. Mfano Mwaka 2015 zaidi ya wanachama 12 waligombea ubunge na kwa mchujo wa ndani tu alibaki mmoja na hawa wengine waliobaki ni wawili tu ambao nawaona angalau walikuwa na kazi zao na wanendelea na maisha, wengine walihamia upinzani kama 3 hivi na waligombea ingawa hawakushinda lkn angalau walionesha kuchukizwa na mchakato. Usifikirie kuwa machukizo ya namna hii hayatakuwepo mwaka huu, tena yatakuwa mengi sana. Watu wanaotegemea siasa hawana ujanja mwingine, hata kama wamesoma vipi hurudi huko huko kwenye siasa, tofauti na watu wachache ambao waliwahi kubadilika baada ya upepo kuwachenjia - Marehemu Spika S. Sita na Dr. William Shija ambapo kuna wakati siasa ziliwakataa wakaenda kwenye utendaji. Au mfano mwingine ni Dr Mwale Malechela ambaye akijitoa ufahamu na akija na akajaribu kugombea Mwaka huu huu watu watakaomuunga mkono watakuwa wengi sana. Si ajabu hata Membe naye anaweza akamuunga mkono.

Huku Idukilo hakika wengi tupo CCM lkn kwa uongozi huu ama wengi hatutapiga kura ama akija Mpinzani Mjasiri atatupata tu kiurahisi. CCM kuamua kudeal na upinzani kwa namna hii mnasikitisha sana sana. Mnasabisha chuki dhidi ya watu na hata CCM yenyewe inachukiwa. Watu wanavaa tu nguo zenu kwa shinikizo na kwa woga ili waonekane ni watawala, eti tumeshika hatamu, hatamu gani ya kibabe!?

Uchaguzi huu tutashangazwa sana ninawaambia watu wana hali ngumu (hata posts nyingi zinaelezea hali ilivyo) na watapochukua maamuzi magumu hawatakuwa na cha kupoteza. Hawatapoteza na watapata kupitia upinzani. Hata huku wapinzani wetu wamejipanga kulinda kura zao na wana haki na mkituletea wagombea wa hovyo mjue tutawasaidia wapinzani kulinda kura zao ili watushinde. Mnafanya mambo ya hovyo sana kuchukia upinzani. Kumbukeni wapinzani ni ndugu zetu, na jirani zetu. Dadangu ana mwanae ambaye ni Mbunge wa upinzani lkn anamsomesha mtoto wa mdogo wetu ambaye yeye ni CCM damu damu. Hapo kuna ubaya au faida?
Acheni hizo CCM, tunasubiri tu kipenga, mchakato wa kibabe this time kama wa Serikali za Mtaa hautakwepo na ukifanyika madhara yake yatawarudi na nyie. Na hii post yangu tutaijadili na wanaIdukilo wenzangu jioni pale kijiweni.
Nikweli km watatumia mchakato wa serikali za mitaa moto watauwasha wenyewee na watashindwa kuuzima watu huku mtaani wanahasira balaa 'you can not fool all the people at all times but some people all the time'
 
Ccm wamepanic sana, siju ni kwa nini? Matendo, maneno na kauli za Shari zinaakisi kuna jambo si salama kwenye chama chao,
Huenda 2015 haeakushinda uchaguzi,.

Wanahubiri chuki visasi Shari, lakini wakijeruhiana wenyewe kwa wenyewe hasira zao ni kuwashbulia wapinzani
 
Ccm wamepaic sana, siju ni kwa nini? Matendo, maneno na kauli za Shari zinaakisi kuna jambo si salama kwenye chama chao,
Huenda 2015 haeakushinda uchaguzi,.

Wanahubiri chuki visasi Shari, lakini wakijeruhiana wenyewe kwa wenyewe hasira zao ni kuwashbulia wapinzani
Mwaka huu lazima tugawane fito!
 
Mimi ni wa Kijijini na ninatolea mfano kwa mazingira ya huku kwetu Idukilo-Kishapu-Shinyanga. Watu wanafadhaiiiiikaaa eti sijui nani karudi au kaenda kwenye LiChama Tawala na upinzani unazidi kuchoka ! Walaaaaa! Sio hivyo kabisa! Upinzani utakuwa kwa asilimia kubwa sana Mwaka huu - subiri kipenga cha Uchaguzi kilie. Mwaka huu wengi watashangaa nawaambia na sikieni maneno haya. Msifikiri Mbowe, Zito, Maalimu Seif na wengineo wamechoka. Hamna aliyechoka hata!

Maisha ya wanasiasa yanategemea siasa. Kwa yanayoendelea huko CCM kuna wengi watatoka - tena wengi sana. Wanasiasa hawana pensheni ya kila mwezi (acha mawaziri wakuu na Rais labda) kama wastaafu wengine. Wanasiasa mpaka wanakufa wanategemea domo - yaani kupiga siasa. Unafikiri kama Makamba Senior, Membe, Kinana (ingawa huyu nafuu), Wasira, sijui nani yule wangekuwa na pensheni km Majaji waliostaafu na kula pensheni nono kungekuwa na kelele?

Ndiyo maana wanasheria wakaitwa wasomi - wajanja sana. Majaji wanakula tu pensheni na mawakili wanaendelea tu na kesi zenu hata kama wana miaka zaidi ya 80. Wanasisasa wakibanwa hapa au wakikosa maslahi hapa wanaenda kule. Tanzania inakuwa kama Kenya soon, mtu kuhama Chama inaelekea kuwa kawaida tu. Demokrasia inakuwa. Sasa usitegemee sisi wanaCCM tunafurahia kuja kupokwa nafasi zetu huku. Ninaona hapa Idukilo ilivyo.

Juzi juzi mtoto wa Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa toka huku Kishapu ameingizwa kwenye ajira ya ualimu kinyemela kwa sababu ana kadi ya CCM. Watoto wa WanaCCM wengine na wale wengi ambao hawana kadi za CCM wameshuhudia hilo na wapo mtaani. Kilichotokea wamejenga chuki kwa mwenzao kwa sababu ameshindwa kuwajuza kapataje hiyo nafasi. Na hata kama angewajuza kwani kuna nafasi za kuwaajiri? - kwa maana hiyo CCM imepata kura ya huyo mmoja kwa kukosa kura za mamia ambao ni rafiki zake huyo. CCM inafanya bla bla - INAONWA!

Mtu anahamia CCM kwenda kuwapoka wenzake nafasi - na kweli akipitishwa basi atawafanya wengi warudi opposition kwa sababu hata CCM yenyewe haiwezi kuwapa wote. Mfano Mwaka 2015 zaidi ya wanachama 12 waligombea ubunge na kwa mchujo wa ndani tu alibaki mmoja na hawa wengine waliobaki ni wawili tu ambao nawaona angalau walikuwa na kazi zao na wanendelea na maisha, wengine walihamia upinzani kama 3 hivi na waligombea ingawa hawakushinda lkn angalau walionesha kuchukizwa na mchakato.

Usifikirie kuwa machukizo ya namna hii hayatakuwepo mwaka huu, tena yatakuwa mengi sana. Watu wanaotegemea siasa hawana ujanja mwingine, hata kama wamesoma vipi hurudi huko huko kwenye siasa, tofauti na watu wachache ambao waliwahi kubadilika baada ya upepo kuwachenjia - Marehemu Spika S. Sita na Dr. William Shija ambapo kuna wakati siasa ziliwakataa wakaenda kwenye utendaji. Au mfano mwingine ni Dr Mwale Malechela ambaye akijitoa ufahamu na akija na akajaribu kugombea Mwaka huu huu watu watakaomuunga mkono watakuwa wengi sana. Si ajabu hata Membe naye anaweza akamuunga mkono.

Huku Idukilo hakika wengi tupo CCM lkn kwa uongozi huu ama wengi hatutapiga kura ama akija Mpinzani Mjasiri atatupata tu kiurahisi. CCM kuamua kudeal na upinzani kwa namna hii mnasikitisha sana sana. Mnasabisha chuki dhidi ya watu na hata CCM yenyewe inachukiwa. Watu wanavaa tu nguo zenu kwa shinikizo na kwa woga ili waonekane ni watawala, eti tumeshika hatamu, hatamu gani ya kibabe!?

Uchaguzi huu tutashangazwa sana ninawaambia watu wana hali ngumu (hata posts nyingi zinaelezea hali ilivyo) na watapochukua maamuzi magumu hawatakuwa na cha kupoteza. Hawatapoteza na watapata kupitia upinzani. Hata huku wapinzani wetu wamejipanga kulinda kura zao na wana haki na mkituletea wagombea wa hovyo mjue tutawasaidia wapinzani kulinda kura zao ili watushinde. Mnafanya mambo ya hovyo sana kuchukia upinzani.

Kumbukeni wapinzani ni ndugu zetu, na jirani zetu. Dadangu ana mwanae ambaye ni Mbunge wa upinzani lkn anamsomesha mtoto wa mdogo wetu ambaye yeye ni CCM damu damu. Hapo kuna ubaya au faida?

Acheni hizo CCM, tunasubiri tu kipenga, mchakato wa kibabe this time kama wa Serikali za Mtaa hautakwepo na ukifanyika madhara yake yatawarudi na nyie. Na hii post yangu tutaijadili na wanaIdukilo wenzangu jioni pale kijiweni.
Umesema ukweli mkuu...

Kazi za wana siasa ni siasa.

Hivyo kama upinzani wamezuiwa kufanya kazi, siyo ajabu wakihamia ccm ambapo kwasasa ndipo kuna kazi.
 
Wakitoka ccm wakaja tena na hela zao za kuwahonga mtabadili tena gia angani ?

Moja kati ya makosa ya upinzani ni kuwaamini wanaotaoka ccm na kuwapa nafasi,ilo ni kosa kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baeleze baeleze habhasikiahi habha.
 
Hii biashara ya makada kuunga mkono ni sawa kabisa na ile ya "human trafficking" ijapokuwa kwa hapa inawahusisha wasaliti wa demokrasia kupitia usiri uliopo kati ya muhusika na timu ya akina Polepole. Nashindwa kupata picha ktk siku zijazo washiriki wake aibu ktk sura zao zitakuwa vipi! Hawaoni hata CCM Visiwani hawashiriki ktk fedheha hii kubwa.

Ni jambo lililokuwa bayana kuwa wapo makada wa upinzani wenye mioyo miepesi ambao hushawishiwa kwa pesa, maslahi na hata ahadi ya vyeo endapo watakubaliana na usaliti huo, lakini wapo wengi bado wenye msimamo, hawakubali kuyumbishwa ambao miongoni mwao wanabambikiziwa tuhuma nyingi na kesi za kipuuzi kuwakomoa.

CCM hufanya kwa woga wa mambo yajao ambayo hawana uhakika na matokeo yake. Yes! It is blatant fear of unknown. Bado wana kumbukumbu mbaya kuhusu uchaguzi wa 2015 ulivyokuwa, wanatatizwa na zile nyomi za watu ktk mikutano iiliyoitishwa na Ile support" kubwa ambayo upinzani ulipata kupitia kwa mwamvuli wa UKAWA. Wanajidanga kuwa kuhama kwa mchezaji ndiyo pia kuhama kwa mashabiki wake.

Ukweli mchungu ni kuwa mapenzi ya dhati ya mtu, huanza kwanza katika timu anayoipenda, kisha kwa mchezaji mahiri anayetumainiwa ktk timu. Mchezaji husika akihamia ktk timu pinzani, mashabiki, wapenzi na wanachama wa timu husika humgeuzia kibao, kwa kuwa humuona kuwa ni msaliti.

Ndivyo ambavyo itakuwa ktk uchaguzi wa 2020. Ebu CCM kupitia serikali Yao wajaribu kuondoa katazo la kufanya mikutano ya kisiasa, waone kuwa upinzani umedhoofu ama la. Pia wawatumie makada waliowachukua kutoka upinzani katika kampeni wapate kuona ya kuwa wamelamba dume ama vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi huu ni Fursa ya kipekee ya kuwagalagaza CCM tuwatokomeze kwenye hatamu wanayoing'ang'ania kwa nguvu.
 
Ni jambo la kushangaza sana, chama kinachojiita kikongwe barani Africa kufurahia kuchomoa watu toka vyama vya upinzani, sijui huo ukongwe wao una maana gani!

But ndio tunawategemea watuletee maendeleo, sasa kama wameshindwa kupata mbinu ndogo tu ya kuzalisha wanachama wao watakaokuja kuwa wagombea mbeleni, wao wanaona bora wachukue wa upinzani ndio wagombee, wataweza kweli kulisogeza taifa mbele?!

Una akili sana wewe!
 
Back
Top Bottom