Msifadhaike kabisa kipyenga kikilia tu wengi watakuja upinzani tila lila

Watu ni wale wale tu, tabaka la wazembe!
 
Hawajitokezi kwa sasa wanasikilizia!
Ndivyo inavyokuwa, huwa wanadanganywa mavyeo mengi wana ccm msikimbie, sasa nchi gani inavyeo kuwatosha wanachama wa chama wote walioshinda?!
Ukikatwa kimbia nenda kwingine kajaribu.
 
Tanzania ina watu zaidi ya 60m, wanachama wote wa vyama vya siasa kwa ujumla wao ni kama 15m tu, watu 45m hawana vyama na kati ya wasio na vyama 60% ni vijana.

Sasa mtu mjinga anadhani kumnunua mtu mmoja wa Upinzani mwenye njaa eti atauwa upinzani - NI ujinga uliopitiliza.
 
Umeandika kitu kizito sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…