Msigwa: Bandari Ilikuwa inaingiza tsh 1 trillion na inamtumia tsh 880 bilioni ndio sababu tumeleta DP World Ili kuongeza Mapato!

Ndio hayo makubaliano ya milele mpka kifo kitutenganishe? Ukiona mtu anatumia nguvu kuubwa sanaa kujjitetea ujue ni mwongo.
 
Sema kifungu kipi cha mkataba unachokiongelea?
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
 

Attachments

  • B5535A26-1988-4342-B5AA-DD987B44B958.jpeg
    58 KB · Views: 3
  • A7F5B288-3EB8-4F59-9918-5C47A5F62EDA.jpeg
    79.5 KB · Views: 3
  • 8203B093-6E25-4B81-8220-B47F5A35268E.jpeg
    32 KB · Views: 3
  • 09902AD7-8964-44AF-A025-6C7212A7E501.jpeg
    131.1 KB · Views: 3
  • E8986311-0B6B-4329-AD96-DCE63D5C7962.jpeg
    75.7 KB · Views: 3
  • 4AB0B079-B9D8-4FB9-B30F-02C5EAF9A01B.jpeg
    150.5 KB · Views: 3
Binafsi katika sakata hili sijachagua upande but soon Nadhani nitajua upande sahihi ni upi na kwa "Sababu zangu nzuri " zipi nimechagua huo upande.

Lakini Mimi nataka kufaham kitu kimoja(let assume am kindergarten I know nothing )

So Madhara yatakua Ni yapi hasa kwetu watanzania endapo hakuna ukomo wa mkataba huo(Makubaliano ya uendeshaji bandari )
 
Hayo makubaliano ‘frame work’, tuliyosaini, ni kwa ajili ya mikataba ya miaka mingapi?
 
Mjinga alikuwa Tibaijuka kwenda wasafi TV...yeye hajui serious media zilipo? Ohh alikuwa anataka kuwa target hao wajinga wasio hoji lolote
 
Mkataba unakuwa haramu kwa kuwa kipengele unakuwa

a) Umekiuka clause muhimu ya kisheria
b) Utashindwa kufikia. malengo yako kwa kuwa hakutakuwa na kipengele cha kumlazimisha partner wako kutekeleza wajibu wake kwa kuwa anajua huna cha kumfanya hata asipo perform
c) TIcts leo tumeweza kuwaondoa kwa utendaji usio ridhisha jee kipengele hicho cha ku terminate kisingekuwepo umewahi kujiuliza ingekuaje ?
 
Machawa siyo kwamba hawajui, wanafanya makusudi.

Hata Mbarawa alipoulizwa kuhusu ukomo wa mkataba alijikanyaga tuu bila kueleweka:-

Swali: mkataba utakoma lini?
Mbarawa:-
👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…