Msigwa: Bandari Ilikuwa inaingiza tsh 1 trillion na inamtumia tsh 880 bilioni ndio sababu tumeleta DP World Ili kuongeza Mapato!

Ndio hayo makubaliano ya milele mpka kifo kitutenganishe? Ukiona mtu anatumia nguvu kuubwa sanaa kujjitetea ujue ni mwongo.
 
watu wanataka mjadala uwe kwenye terms ya kilichosainiwa sio vinginevyo

iwe karatasi la kufungia vitumbua au chochote kile

watu wakihoji terms wanajibiwa Nchi zingine wanazofanya kazi DP World

tukihoji terms wengine wanatoa takwimu za ajira zitakazoongezeka wengine wanajadili ufanisi

Toeni ufafanuzi wa terms zinazotia wasiwasi

Mtu anahoji kipengele cha muda wa .mkataba jitu zima linakutajia muda wa kushusha kontena au muda wa meli kusubiri kushusha mzigo
Sema kifungu kipi cha mkataba unachokiongelea?
 
Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12

Msigwa amesema Bandari haijauzwa na haitauzwa kwa sababu sheria za Nchi haziruhusu

Msigwa amesisitiza Bandari lazima ikodishwe Ili kuongeza Ufanisi kwani mwekezaji atatuwezesha kupata tsh 27 trillion pa

Source: Habari Digital
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Attachments

  • B5535A26-1988-4342-B5AA-DD987B44B958.jpeg
    B5535A26-1988-4342-B5AA-DD987B44B958.jpeg
    58 KB · Views: 3
  • A7F5B288-3EB8-4F59-9918-5C47A5F62EDA.jpeg
    A7F5B288-3EB8-4F59-9918-5C47A5F62EDA.jpeg
    79.5 KB · Views: 3
  • 8203B093-6E25-4B81-8220-B47F5A35268E.jpeg
    8203B093-6E25-4B81-8220-B47F5A35268E.jpeg
    32 KB · Views: 3
  • 09902AD7-8964-44AF-A025-6C7212A7E501.jpeg
    09902AD7-8964-44AF-A025-6C7212A7E501.jpeg
    131.1 KB · Views: 3
  • E8986311-0B6B-4329-AD96-DCE63D5C7962.jpeg
    E8986311-0B6B-4329-AD96-DCE63D5C7962.jpeg
    75.7 KB · Views: 3
  • 4AB0B079-B9D8-4FB9-B30F-02C5EAF9A01B.jpeg
    4AB0B079-B9D8-4FB9-B30F-02C5EAF9A01B.jpeg
    150.5 KB · Views: 3
watu wanataka mjadala uwe kwenye terms ya kilichosainiwa sio vinginevyo

iwe karatasi la kufungia vitumbua au chochote kile

watu wakihoji terms wanajibiwa Nchi zingine wanazofanya kazi DP World

tukihoji terms wengine wanatoa takwimu za ajira zitakazoongezeka wengine wanajadili ufanisi

Toeni ufafanuzi wa terms zinazotia wasiwasi

Mtu anahoji kipengele cha muda wa .mkataba jitu zima linakutajia muda wa kushusha kontena au muda wa meli kusubiri kushusha mzigo
Binafsi katika sakata hili sijachagua upande but soon Nadhani nitajua upande sahihi ni upi na kwa "Sababu zangu nzuri " zipi nimechagua huo upande.

Lakini Mimi nataka kufaham kitu kimoja(let assume am kindergarten I know nothing )

So Madhara yatakua Ni yapi hasa kwetu watanzania endapo hakuna ukomo wa mkataba huo(Makubaliano ya uendeshaji bandari )
 
Hayo makubaliano ‘frame work’, tuliyosaini, ni kwa ajili ya mikataba ya miaka mingapi?
 
watu wanataka mjadala uwe kwenye terms ya kilichosainiwa sio vinginevyo

iwe karatasi la kufungia vitumbua au chochote kile

watu wakihoji terms wanajibiwa Nchi zingine wanazofanya kazi DP World

tukihoji terms wengine wanatoa takwimu za ajira zitakazoongezeka wengine wanajadili ufanisi

Toeni ufafanuzi wa terms zinazotia wasiwasi

Mtu anahoji kipengele cha muda wa .mkataba jitu zima linakutajia muda wa kushusha kontena au muda wa meli kusubiri kushusha mzigo

Watu tunahoji terms mtu anasimama Bungeni kujibu anazungumzia faida za umoja wa kitaifa heee

Ukiuliza kwanini hakuna kipengele cha kuvunja mkataba mtu anakujibu Bandarini mifumo haisomani kwa hiyo ufanisi mdogo

Mimi: Kwanini Tender ya kuendesha bandari haikushindanishwa kwa wote wenye uwezo?

Chawa: Wafanyakazi wa sasa wa TPA wataendelea na Ajira zao

Mimi: Kwanini mkataba huu hauhusishi Znz?

Chawa: Tusitumie uhuru vibaya kwa kumvunjia heshma Mama

Prof Tibaijuka ana challenge kwanini Mkataba hauvunjiki Mtangazaji wa Wasafi anatolea mfano wa Mkataba wa Yanga na Faisal Salumi Fei toto …Mama Tibaijuka alishangaa sana Mwandishi kutolea mfano wa kijinga kama ule kwny jambo serious
Mjinga alikuwa Tibaijuka kwenda wasafi TV...yeye hajui serious media zilipo? Ohh alikuwa anataka kuwa target hao wajinga wasio hoji lolote
 
Binafsi katika sakata hili sijachagua upande but soon Nadhani nitajua upande sahihi ni upi na kwa "Sababu zangu nzuri " zipi nimechagua huo upande.

Lakini Mimi nataka kufaham kitu kimoja(let assume am kindergarten I know nothing )

So Madhara yatakua Ni yapi hasa kwetu watanzania endapo hakuna ukomo wa mkataba huo(Makubaliano ya uendeshaji bandari )
Mkataba unakuwa haramu kwa kuwa kipengele unakuwa

a) Umekiuka clause muhimu ya kisheria
b) Utashindwa kufikia. malengo yako kwa kuwa hakutakuwa na kipengele cha kumlazimisha partner wako kutekeleza wajibu wake kwa kuwa anajua huna cha kumfanya hata asipo perform
c) TIcts leo tumeweza kuwaondoa kwa utendaji usio ridhisha jee kipengele hicho cha ku terminate kisingekuwepo umewahi kujiuliza ingekuaje ?
 
watu wanataka mjadala uwe kwenye terms ya kilichosainiwa sio vinginevyo

iwe karatasi la kufungia vitumbua au chochote kile

watu wakihoji terms wanajibiwa Nchi zingine wanazofanya kazi DP World

tukihoji terms wengine wanatoa takwimu za ajira zitakazoongezeka wengine wanajadili ufanisi

Toeni ufafanuzi wa terms zinazotia wasiwasi

Mtu anahoji kipengele cha muda wa .mkataba jitu zima linakutajia muda wa kushusha kontena au muda wa meli kusubiri kushusha mzigo

Watu tunahoji terms mtu anasimama Bungeni kujibu anazungumzia faida za umoja wa kitaifa heee

Ukiuliza kwanini hakuna kipengele cha kuvunja mkataba mtu anakujibu Bandarini mifumo haisomani kwa hiyo ufanisi mdogo

Mimi: Kwanini Tender ya kuendesha bandari haikushindanishwa kwa wote wenye uwezo?

Chawa: Wafanyakazi wa sasa wa TPA wataendelea na Ajira zao

Mimi: Kwanini mkataba huu hauhusishi Znz?

Chawa: Tusitumie uhuru vibaya kwa kumvunjia heshma Mama

Prof Tibaijuka ana challenge kwanini Mkataba hauvunjiki Mtangazaji wa Wasafi anatolea mfano wa Mkataba wa Yanga na Faisal Salumi Fei toto …Mama Tibaijuka alishangaa sana Mwandishi kutolea mfano wa kijinga kama ule kwny jambo serious
Machawa siyo kwamba hawajui, wanafanya makusudi.

Hata Mbarawa alipoulizwa kuhusu ukomo wa mkataba alijikanyaga tuu bila kueleweka:-

Swali: mkataba utakoma lini?
Mbarawa:-
👇
1687633675328.png
 
Back
Top Bottom