Msigwa: Hakuna ndege inayobeba wanyama, mwenye ushahidi alete

Kuwepo na uwazi Tu kama wanauzwa tujue tufurahi pamoja
 
Mlamba asali
 
Hata vichaa wanajuwa kutamka maneno hayo mawili ya stupid nonsense! Waweza kuwa kichaa pia

Naomba ujibu hoja zangu za kuuza wanyama
 
Taahira katika ubora wako
 
Cha ajabu badala ya kutoa evidence wataanza kumshambulia Msigwa
🤣🤣🤣🤣
Yaani kuna wakati unajisemea kama humu ndo kuna wasomi wanaojinadi kupiga alama 'A' katika kila somo walilogusa....kutoka o'level hadi advance na kwamba wana exposure ya kutosha tu LAKINI kikubwa walichonacho ni utajiri huu mkubwa wa chuki na uzushi kwa Mama Samia ( unaochochewa na udini, bila shaka), basi kazi ipo nchi hii!
 
Na huo ndio ukweli !!
 
Huna akili wanyama wakichukuliwa hatima yake ni nini ? Watalii hawatakuja wataishia huko
 

Bora wewe umeongea ukweli..
Chuki ya kidini Kwa Samia iko kubwa Sana....na ukiwaambia hiko kinacho wasumbua ni chuki ya dini watakushambulia kama wamemwagiwa pilipili
 
Kuwepo na uwazi Tu kama wanauzwa tujue tufurahi pamoja
Hiyo ndio hoja. Kuna uamuzi ulishawekwa hatuuzi wanyama hai. Sasa wanaposafirishwa kinyemela ndio issue. Huko uarabuni siku hizi cheetah simba chui ndio matajiri wanawafuga kama pets.

Je wanatokaje huku kwetu? Na kama wanauziwa ni kwa bei gani.

Pia kulikua na hofu hiyo trend ya kuuza wanyama hai inaweza kusababisha vurugu kwenye hifadhi na magendo kwenye kuwakamata wanyama.

Binafsi navyohisi kuna zuio kusafirisha wanyama ila kuna mkubwa/wakubwa wanafanya hiyo biashara kinyemela. Madege makubwa ya nchi za kiarabu hayatui bure kilimanjaro na loliondo bali kuna jambo.
Yafaa uwazi kwenye hii kitu.
 
Huyu jamaa ni miongoni mwa watu duni waliobahatika kupata majukumu makubwa
 
Yaani umeshasahau Makampuni mwenyekiti yuko kazini anachapa kazi. Unadhani alioweka nafasi hiyo bure! Anao utaalamu.
 
Hao wanyama anawazeesha bibi yako kishirikina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…