All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
Kuwepo na uwazi Tu kama wanauzwa tujue tufurahi pamojaMwisho wa siku hawa wanyama watazeeka na watakufa. Kwani kuna ubaya gani kuwauza kama hao waarabu wanataka?
Maana sasa tumechoka ndege KIA mara ndege Loliondo, mara wanyama wanaibiwa!! Kama wanaibiwa ina maana kuna soko. Tuwapangie Bei waingize mpunga na kodi tukusanye.
Kwanza Watanzania hata mbugani hatuendi kuona wanyama kama sehemu ya utalii lakini tumekomaza mishipa tunalaani ndege ambazo Wala hatuna uhakika zimebeba nini