Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni Mchg Msigwa anaweza kumpeleka mtu mbinguni ?.Vyama vyote vya siasa ni hovyo tu.
Kwahiyo Msigwa ndio baadhi ya watu muhimu waliopotezwa na cdm?!Ndio Ukweli
Chadema imepoteza watu mahiri wamebaki na watu wajinga wajinga
Mtu mwenye akili Chadema laazima aonekane ni msaliti na mamluki
Ila wale wajinga wanaoshinda mitandaoni huku kula kwao kwa shida ndio uonekanana makamanda
Chadema imekua ikipoteza watu muhimu sana kwa uzembe wa Kijinga wa kumwabudu mtu mmoja
Msigwa anastahili kustahafu siasa angalau abaki na heshima aliyoijenga mda mrefuMchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Hao watu wa aina ya kina Msigwa hawaisaidii ccm, bali wanafanya watu kuwapuuza wanasiasa na siasa kwa ujumla. Msigwa anasema cdm hawana sera, ila yeye haongei sera bali anaongea mapungufu ya cdm, ambayo kwa mtazamo wake yatampatia cheo huko ccm.Msigwa ni afadhali angejiuzulu siasa, au angekwenda chama kingine cha upinzani. Lakini huu utaratibu wa kupanda majukwaani, na kuponda mambo yote aliyowaaminisha wananchi kwa miaka zaidi ya 20, ni kujidhalilisha, na kuwadharau Watanzania
Huyu kapotea tayariMchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Ccm tuko na mwigulu na bashe sukari 6,000 kwa kilo,Ndio Ukweli
Chadema imepoteza watu mahiri wamebaki na watu wajinga wajinga
Mtu mwenye akili Chadema laazima aonekane ni msaliti na mamluki
Ila wale wajinga wanaoshinda mitandaoni huku kula kwao kwa shida ndio uonekanana makamanda
Chadema imekua ikipoteza watu muhimu sana kwa uzembe wa Kijinga wa kumwabudu mtu mmoja
Spent item, with reservior nutrients. Thats why CCM are hunting tirelessly those rare ingredients from "comred Msigwa". Tumepoteza ukweli ndio huoKwa hiyo alikaaa kwenye chama zaidi ya miaka 20 ila leo ndio anajua hakina sera? Msigwa ni spent item, hata akizunguka nchi nzima hana impact yoyote. Yeye asubiri apewe ukuu wa Mkoa au Wilaya astaafu siasa kwa utulivu
Hivi,unaona kuna ukweli kwamba SSH na Mbowe waliacha ya maana yooote wakaanza kujadili Bilcanas?Msigwa amejua kubonyeza kitufe cha vichekesho kwa umahiri sana.🤣🤣🤣🤣🙏
muulize msigwa aliyesema kuwa mbowe alienda kushughulikia mambo ya bilicanasClub Billicanas ilivunjwa lini? 😂😂
Dogo anachanganyikiwa.Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Naam alikuwa anajimbwafai kwa kuwarejea akina ALBERT ANSTEIN " Problem can not be solved by the same thinking that created them..." Leo karudi kulekule kapwaya vibaya mno.Tupo pamoja.Huyu mtu kajidunisha mnooo mnooo!Bado namshangaa kuendelea kutumia kauli ya "akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa"!Misemo yake na kauli zake kwa sasa akiitumia anaonesha alivyo kasuku,roboti la Nape na kiumbe wa kukaririkariri tu maneno.The emptiness within him!
Msigwa katoka, kwa CCM ni liability sio asset hata kidogoMzee mwenzangu, huyu jamaa si alishatoka chadema? Nadhani awaache na utapeli wao. Ukiona umeachana na mke au mume ukaendelea kumuongelea au kumfuatilia, jua kuna jambo. Jitafakari.
Kwa hiyo hilo wewe linakuhusu nini?Ndio Ukweli
Chadema imepoteza watu mahiri wamebaki na watu wajinga wajinga
Mtu mwenye akili Chadema laazima aonekane ni msaliti na mamluki
Ila wale wajinga wanaoshinda mitandaoni huku kula kwao kwa shida ndio uonekanana makamanda
Chadema imekua ikipoteza watu muhimu sana kwa uzembe wa Kijinga wa kumwabudu mtu mmoja
Huyu Msigwa ni sawa tu na MagomaMchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Mengine yote umesema kweli ila hakuna chama kinaitwa CDM kaka.A
Najipalilia Laana na itamvaa yeye mpaka kizazi chake cha nne, Mbowe ni mtu na kama binadamu yoyote anamahitaji yake na mapungufu yake kwani siyo Malaika huwezi kutumia mapungufu na maitaji ya Mbowe kumbagaza ili upate cheo CCM, huo ni ujinga na watu wenye akili watakuona huna akili. Huwezi ukakaa CDM miaka 20 ukakosa mapungufu ya watu.
Yaani kama ni uchungaji wa kinafiki, basi huyu anathibitisha kwa matendo yaliyowazi sana unafiki wake kama mchungaji..Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼