Pre GE2025 Msigwa: Mbowe aliacha tuliyomtuma Ikulu akaenda kushughulikia Billicanas. CHADEMA hakuna Sera ni kudandia mambo ya CCM tu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Michezo ya siasa si ya kuaminiana kabisa, mnaweza kuta yuko huko Kwa kazi maalumu, anaponda sana na kutoa shutuma kumbe anafanya kazi ya alikotoka,
Tuendelee kunywa mtori tu , nyama tutazikuta chini
 
Kwahiyo Msigwa ndio baadhi ya watu muhimu waliopotezwa na cdm?!
 
Msigwa anastahili kustahafu siasa angalau abaki na heshima aliyoijenga mda mrefu
 
Msigwa ni afadhali angejiuzulu siasa, au angekwenda chama kingine cha upinzani. Lakini huu utaratibu wa kupanda majukwaani, na kuponda mambo yote aliyowaaminisha wananchi kwa miaka zaidi ya 20, ni kujidhalilisha, na kuwadharau Watanzania
Hao watu wa aina ya kina Msigwa hawaisaidii ccm, bali wanafanya watu kuwapuuza wanasiasa na siasa kwa ujumla. Msigwa anasema cdm hawana sera, ila yeye haongei sera bali anaongea mapungufu ya cdm, ambayo kwa mtazamo wake yatampatia cheo huko ccm.
 
Huyu kapotea tayari

Si awashauri ccm waondoe mfumuko wa bei na tozo
Ambazo akiwa cdm alizipigia kekele
 
Ccm tuko na mwigulu na bashe sukari 6,000 kwa kilo,

ccm tuko na vichwa bwashehe
 
Wanasiasa watu wa ajabu sana
Mazee mazima yanajadili mtu
Yaani hakuna wa afadhali vyama vyote

Vijana hawajui la kufanya wako kitaa na mzee yanajadili watu
Hopeless ๐Ÿ˜” kabisa
 
Kwa hiyo alikaaa kwenye chama zaidi ya miaka 20 ila leo ndio anajua hakina sera? Msigwa ni spent item, hata akizunguka nchi nzima hana impact yoyote. Yeye asubiri apewe ukuu wa Mkoa au Wilaya astaafu siasa kwa utulivu
Spent item, with reservior nutrients. Thats why CCM are hunting tirelessly those rare ingredients from "comred Msigwa". Tumepoteza ukweli ndio huo
 
Dogo anachanganyikiwa.
 
Naam alikuwa anajimbwafai kwa kuwarejea akina ALBERT ANSTEIN " Problem can not be solved by the same thinking that created them..." Leo karudi kulekule kapwaya vibaya mno.

Yupo kwenye wrong truck but hana jinsi kwa kweli.
 
Mzee mwenzangu, huyu jamaa si alishatoka chadema? Nadhani awaache na utapeli wao. Ukiona umeachana na mke au mume ukaendelea kumuongelea au kumfuatilia, jua kuna jambo. Jitafakari.
Msigwa katoka, kwa CCM ni liability sio asset hata kidogo
 
Kwa hiyo hilo wewe linakuhusu nini?
 
Huyu Msigwa ni sawa tu na Magoma
 
Mengine yote umesema kweli ila hakuna chama kinaitwa CDM kaka.
 
Yaani kama ni uchungaji wa kinafiki, basi huyu anathibitisha kwa matendo yaliyowazi sana unafiki wake kama mchungaji..

Yesu Kristo anasema wachungaji wa kweli na wa uongo, "....mtawatambua kwa matendo yao..."

Huyu Mch kwa sabubu ya njaa ya tumbo na kichwani, kaamua kujiuza mwenyewe kwa shetani.

Yaani kaamua atembee usiku na mchana kueneza uongo ili mradi apewe na pesa toka kwa anaowauzuia huo uongo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ