econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwa CCM ndio yenye sera? Kumuongelea Mbowe na CHADEMA ndio sera ya CCM. Kweli mna hali mbaya.Chadema kimekuwa chama kisicho na sera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa CCM ndio yenye sera? Kumuongelea Mbowe na CHADEMA ndio sera ya CCM. Kweli mna hali mbaya.Chadema kimekuwa chama kisicho na sera
Upo sahihi kabisaSidhani kama Chadema kitakuja kudhoofu kiasi cha kupotea kabisa.Naona Tanzania vyama vya siasa vya kudumu vitakavyokuwa vinabadilishana madaraka ni CCM na Chadema.Kama ilivyo Marekani Democrat na Republican au Uingereza ilivyo Labour na Conservative.
Hawana agenda za maendeleoKwa CCM ndio yenye sera? Kumuongelea Mbowe na CHADEMA ndio sera ya CCM. Kweli mna hali mbaya.
Msigwa kaanza kwa kumuita Mbowe ni kiongozi wake. Jiulize kwanini bado anamtambua Mbowe kama kiongozi wake.Kiukweli nmemuelewa sana msigwa. Kwanza ni mtu smart sana kichwani,
Anaongea point tupu,
Mdomo wake unatoa hoja ukizifatilia ni hoja za msingi.
Naomba mnifahamishe sera kuu ya chadema kwa sasa ni ipi?
Msigwa unatia aibu wanao, mtoto wako wa kike anajionea aibu.Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Mchungaji,Samehe 70*7.Msigwa anachokifanya ni sawa na wale vijana wa under 30 wanaohama vyama, alishasema weekness za chadema lakini kuendelea kumshambulia mbowe sidhani kama siasa hizo zitamsaidia kujiimarisha kisiasa, hapo hata ccm wameshapona hulka yake siku akitoka CCM akaingia ACT au chama chochote atawananga tena viongozi wa ccm waliompokea. Kwa hadhi yake na nafasi yake ya uchungaji hatakuwa kusema hayo
Rais yupi?. Huyu aliyesema Kilimo tumpe msomali?. Hapana.Ndio maana tunaendelea kuwasanua watu waachane na itikadi za kisiasa. Leo msigwa anaiponda chadema iliyomtambulisha kwenye siasa?
Just support the President hii ndio iwe itikadi yako ya mara zote achana na siasa.
Kuwa mfuasi wa Rais bila kujali katoka chama gani masuala ya itikadi za kisiasa ni senseless.
Weka namba ya Simu ewe chawa.Comrade Msigwa , wapasue hao . Kumbe mzee mbowe alienda kusema WATU WAMEMISS DISCO VUMBI LA MJINI POSTA . siri zinavuja hahahhaa
CCM RAHA SANA . mbona mengi watayatoa tu. CCM KAMA MAJI lazima wanywe .
iamwangdamin said:
CCM NI CHAMA BORA KWA HAPA TANZANIA , HAKUNA CHAMA KITAKUJA KUFUTA HISTORIA BORA YA HIKI CHAMA. mimi ni shahidi wa kusema kuwa CCM itabaki sana milele, CHADEMA ni chama cha TWITTER , nawaonea huruma sana .
MAMA SAMIA MITANO TENA .
Adam Ekingo iamwangdamin
Mjumbe CCM , KIVUKONI ILALA
Mchungaji Peter Msigwa ameichanachana CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara karibu kabisa na Ufipa st Kinondoni
Msigwa amesema CHADEMA hakunaga Dira wala Sera bali husubiri kusikia Chama Dume CCM kimesema nini Ili wao wakosoe basi
Source: Mwanahalisi Digital
My take; Makapi kutoka Ufipa st ni zaidi ya Mambwiga 🐼
Sihitaji kuweka namba ya simu . Kwani hao nakula nao na kucheka nao . Hamna haja ya kuweka hapa .Weka namba ya Simu ewe chawa.
JiulizeKwa hiyo alikaaa kwenye chama zaidi ya miaka 20 ila leo ndio anajua hakina sera? Msigwa ni spent item, hata akizunguka nchi nzima hana impact yoyote. Yeye asubiri apewe ukuu wa Mkoa au Wilaya astaafu siasa kwa utulivu
Ana Uhuru kama aliokua nao sativa na wengine wanaotukana uongozi wa Tanzania .yaani nyie chadema mnataka kuiponda ccm tuh nyie kuambiwa ukweli hamtakiMsigwa ni afadhali angejiuzulu siasa, au angekwenda chama kingine cha upinzani. Lakini huu utaratibu wa kupanda majukwaani, na kuponda mambo yote aliyowaaminisha wananchi kwa miaka zaidi ya 20, ni kujidhalilisha, na kuwadharau Watanzania