Msigwa: Mbowe ananiogopa, hapokei simu zangu

Hata wanao kosa miradhi kwenye familia, hawa lalamiki kiasi hiki.
 
Ishu iko hivi, bei ya manunuzi Msigwa aliyokubaliana na waliomnunua ilikuwa M500 na akatanguliziwa M 200 nyingine baada ya mwezi mmoja kwa sharti kuwa aondoke na kijiji na kuwapa taarifa za siri za kumaliza utawala Mbowe na hatimaye kuimaliza kabisa Chadema. Mwezi umepita Msigwa akakumbushia maokoto yake ndiyo akaambiwa hajatimiza vigezo na masharti kwa muda waliokubaliana. Mzozo umefukuta chini chini lakini kwa herufi kubwa Msigwa akaelezwa kuwa hizo M 200 ndiyo wameshamaizana aendelee kuwa mwanachama mwaminifu kwani kuna watu wamekitumika chama hadi wanazeeka chama hakijawahi kuwapa hata M 10 kwa mpigo.

Sasa hili limemlemea Mchungaji Msigwa kwani hakuna namna anaweza kuweka shinikizo ili alipwe M 300 iliyobaki ndiyo mtu wake wa karibu huko CCM akamwambia mpigie simu Mbowe umueleze kweli wote ili ikiwezekana yeye atarudi Chadema then atauleza umma jinsi CCM inavyonunua wapinzani hasa Chadema.
Na mpango ukikamilika kati yake na Mbowe awatingishie kiberiti CCM kuwa anarudi Chadema na kwenda kutapika jinsi alivyonunuliwa hii ikiwa ina maana Msigwa anataka kuwa blackmail CCM. Mbowe naye kwa upande mwingine alivujishiwa mpango huo lakini atatumika tu kama chombo cha kushinikiza Msiwa alipwe M 300 anayowadai CCM. Mbowe ndiyo maana amemfungia vioo kwa kutopokea simu yake. Msigwa anacheza mchezo wa hatari sana ambao unaweza kuhatarisha maisha yake. Hbari ndiyo hiyo.
 
Sawa AJALI tu
 
Baada ya kusoma thread hii..kumbe ni msaga sumu ameaindika....,msaga sumu ni mzee wa joking ila kama mtu hapokei simu yako jibu ni hakutaki huna umuhimu kwake. Mbona Msaliti msigwa anakuwa na nongwa kama single maza aliyeachwa!
 
vip labda anataka ambembeleze mwamba ili arudi chamani
 
Mkuu, ndio amekubali kazi hiyo ya kumchafua lakini hana point.
Ndiyo maana wamegoma kummalizia hela waliyokubaliana kwani walitegemea angekuwa na some vital information lakini wamekuta ni zile zile wanazoimba wote wanaohamia huku. Na hata wenyewe CCM wanaanza kulaumina kuwa hela aliyolipwa ni nyingi sana kwani hajaleta jipya.
 
Kutoka kwenye kubeba Biblia

Wakamuibua



Wakaanza kuyapitia machungu na furaha



Wengine nao wakaona atawafaa, wakamchukua


Ila wakamtoa ukumbini kwa madai kwamba amevaa kinyume cha maadili,.
Ikabidi atoke na kwenda kubadilishwa nguo



Sasa amepangiwa kituo chake kipya cha kazi, ila kwanza wamempeleka Chuo Cha Ukada akahitimu mafunzo


Mafunzo yanaendelea, kutoka kubeba na kutembeza Biblia hadi kutembeza picha za mama
 
Anadhalilishwa na vijana wadogo
 
Mbona anamsema mwenyekiti wake wa sasa kuwa amemtelekeza baada ya dili la kuhamia kijani kukamilika
 
Hata ningekuwa mimi ni mbowe nisingepokea maana ningeona umetumwa urecord mazungumzo uyarushe Live.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…