Msigwa: Mbowe ananiogopa, hapokei simu zangu

Apokee simu yako, ili iwe nini? Umeishahamia ccm, Jenga ccm, sasa unawashwa na nini? Umeishapata mume mwingine, wa zamani, unamtakia nini?
Umemis kukunwa?
 
Pengine pricetag ilikuwa inaendana na mashambulizi dhidi ya Mwamba Mbowe
 

Yeye anaamini Mbowe anamuogopa, sisi tanajua Mbowe kampuuza.
 
Mbowe atakosa utamu kwa kutokupokea kwake simu hawezi jua pengine msigwa anataka ampe mpepe
 
Kama ni hivyo kweli basi amechoka kuishi. Hawa CCM hawapigiwi lakini wanacheza sasa hapa watamuacha kweli
 
Msigwa ana tofauti na changudoa
Kahama chama ila sijasikia ajenda zozote za msingi anazoongea zaidi ya kuwasema chadema muda wote
Wakati chadema ni chama kilichomlea na kumuamini awe mbunge kupitia chadema😀
Msigwa anachokifanya anajiondolea thamani yake kwa waliokuwa wanamkubali
Kisa tu kashindwa katika uchaguzi na sugu analalama kama kahaba😀
Mimi sio chadema lakin kwa anachokifanya simuungi mkono
Mbona makanda wengine wakihama walikuwa wanakaa kimya tu ata kafulila alihama kutoka uko uko lakini sikumsikia akiwanga alikotoka
 
Apokee kwani unataka kumsagia sumu?
 

Hivi kweli maneno ya Msihwa nimjuaye au ni ya Cloned Msigwa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Alie karibu na Msigwa hebu mpige keleb ya mdomo!

Kama demokrasia ndani ya chadema haipo ndani ya ccm IPO!!?

Kama mwenyekiti wake kaanza kampeni za 2025 2021 baada kushika hatamu na kasema fomu ni moja!!!?

Mwambie aongelee kuhusu katiba ya wats wote na sio uvyama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…