JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Apokee simu yako, ili iwe nini? Umeishahamia ccm, Jenga ccm, sasa unawashwa na nini? Umeishapata mume mwingine, wa zamani, unamtakia nini?Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake''
----
Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
Umemis kukunwa?