These two scenarios of Nyerere and Kambona , Msigwa and Sugu are incomparable!Hakuna hoja hapa Nyerere na kambona walikua ENEMY katika taifa hili la Tanganyika. Ndio ukomavu w kisiasa sw.
KAZI ni kipimo cha UTU
Uko sahihi, lazima kuangalia situations. Tanzania ni dictatorial state, inaongozwa kwa udikiteita na CCM. Lazima kungalia mienendo yenu katika doings zenu short of that CCM will take advantage of this.Kama ndani ya chama tu hakuna Ile kitu "let's agree to disagree" Jee inakuwaje kati ya chama na chama cha upinzani ?
Mjumuiko wa watu ktk taasisi yoyote duniani hawawezi kukubaliana Kila kitu kwa 100%
Katika Hali kama hiyo lazima muangalie vitu vya msingi vinavyowaunganisha na kuzika vitu vdogo vdogo vinavyowatofautisha
Tena akishinda Sugu (arrogant) ataendeleza vijembe Mpka basi. Utakuwa mwisho wa siasa za CHADEMA Kanda ya nyasaMbowe , Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Mkuu in politics there is no friendship or enemity but permanent common interests. Usiogope wanaonesha ukomavu wao kisiasa na ukomavu wa chama. That is very normal!Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Mkuu in politics there are no soft landings for strong politicians. It's either you land hard or you stand strong! That is the way it is!Uko sahihi, lazima kuangalia situations. Tanzania ni dictatorial state, inaongozwa kwa udikiteita na CCM. Lazima kungalia mienendo yenu katika doings zenu short of that CCM will take advantage of this.
"let's agree to disagree", YES, FINE, BUT AT WHOSE ADVANTAGEDISADVANTAGE? Hili ni la msingi!
chadema inajijenga bado, mkianza mipasuko kama hii midogo midogo, na kuhusisha uongozi wa juu akina Mrema wanalalamikiwa , you perish!
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃTena akishinda Sugu (arrogant) ataendeleza vijembe Mpka basi. Utakuwa mwisho wa siasa za CHADEMA Kanda ya nyasa
Nadhani ndiyo tumefanya hiyo kuwa ndiyo mfumo wa chaguzi zetu kama nchi. Ndiyo maana minyukano huwa ni sehemu ya maisha kwenye vyama.Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Umetuacha kizani kabisa!Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Mdahalo wao walifanya nini hadi wawe 'ENEMIES'; walitwangana makonde, walishambuliana bila hoja za kukitetea chama?Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Mbowe ajichunguze sana, yeye ndiye inaonekana amekuwa chanzo cha matatizo ndani ya hicho chama. Atakiua.Na kama Sugu akianguka, hapo kuna ujumbe mzito ambao Msigwa atapeleka kwa lile kundi la 'wenye' chama, na kuelekea mapinduzi ndani ya chama.
Mbowe anaendeshwa na covid-19 wale Halima na Esther ๐ผMbowe ajichunguze sana, yeye ndiye inaonekana amekuwa chanzo cha matatizo ndani ya hicho chama. Atakiua.
Lakini hukutueleza hayo uliyo shuhudia Temeke, mbali ya uliyoeleza kwenye mada ile kuhusu yaliyosemwa na Lissu.Rushwa hupofusha macho
Mbowe alishasema anang'atuka lakini amekuwa kama Prof Lipumba
Kwa nilichoshuhudia Temeke Tundu Lisu akihama Chadema itakuwa Club ya Mbege kama TLP
Unatafuta kuthibitisha nadharia ambayo nimetokwa na jasho jingi sana kuijengea ukuta. Hebu endelea kidogo kufafanua.Mbowe anaendeshwa na covid-19 wale Halima na Esther ๐ผ
Aiseeh! Mimi nilipoangalia ule mdahalo nikajisemea mbona Hawa jamaa Kama vile hawatokei chama kimoja.Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Wewe fikiria Tundu Lisu ana Mkutano mkubwa Temeke na akina Soka wako busy na maandalizi yule Boniyai aliyekuwa Mlinzi wa Mbowe yuko busy huko Kawe kufungua vijiwe Vya makamanda kule Kawe kwa Halima MdeeLakini hukutueleza hayo uliyo shuhudia Temeke, mbali ya uliyoeleza kwenye mada ile kuhusu yaliyosemwa na Lissu.
Au tuseme hayo ya uliyoona umeyaweka kiporo hadi hapo mtifuano utakapo anza?
Ndio nimetoka masjid ๐๐Unatafuta kuthibitisha nadharia ambayo nimetokwa na jasho jingi sana kuijengea ukuta. Hebu endelea kidogo kufafanua.
Dah, leo utalala saa ngapi we mtu!