Mbowe kaweka matumaini yake makubwa sana kwa Samia. Binafsi sidhani kuwa ni "RUHWA" ya kupewa pesa, bali ni matumaini yale yale yanayofanana na ujio wa Lowassa wakati ule.Rushwa hupofusha macho
Mbowe alishasema anang'atuka lakini amekuwa kama Prof Lipumba
Kwa nilichoshuhudia Temeke Tundu Lisu akihama Chadema itakuwa Club ya Mbege kama TLP
Na zaidi ya hayo, Mbowe hana tofauti yoyote na Samia kisera. Anaiona CHADEMA ikishirikiana na Samia baada ya 2025!
Lakini asije akajikuta anaachwa kwenye mataa, kwa kuamini "lugha za staha."