CCM watakuwa sebuleni kabisa. Mbeya yule Binti Fito hatakuwa na mpinzani toka CHADEMA 2025.Taita Sugu ni swahiba mkubwa wa Abdul ni dhahiri akipita Sugu CCM watakuwa na upenyo wa kuingia ndani kirahisi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM watakuwa sebuleni kabisa. Mbeya yule Binti Fito hatakuwa na mpinzani toka CHADEMA 2025.Taita Sugu ni swahiba mkubwa wa Abdul ni dhahiri akipita Sugu CCM watakuwa na upenyo wa kuingia ndani kirahisi.
Lissu anatelekezwa kwa sababu ya hela unaona hata Msigwa mtandaoni ametengwa wameenda kwa Sugu mwenye hela.Mbona wengi tulishawaona mkuu 'Al Watan'!
Kweli mtu ataweza kuwasahau akina Shonza, Abdul Nondo na wengi wengine waliotoka CHADEMA na kuingia CCM kwa kununuliwa?
Hata leo hii, kundi kubwa lililo chini ya Mbowe ni watu wa maslahikuliko inachodai CHADEMA kukisimamia.. Wengi wamo humu humu JF, na wanafahamika vyema. ya tumboi zaidi
Kwan hayo makualiano kaingia kama Mbowe au kama mwenyekiti wa CDM? Ni kipi ambacho mwenyekiti mwingine hataweza simamia katika hayo makubaliano? Mwenyekiti ni taasisi si mtu ajue hilo.tTatizo la Mbowe haijifunzi. CCM hainaga urafiki wa kweli. Shauri zake, na ndio maana amehairisha kustaafu kisa makubaliano na Samiah.
Hali hii itakomeshwa na wananchi wenyewe watakapopata uelewa wa kutosha kuhusu maslahi yao na nchi yao na kuanza kuwakataa hawa wachumia tumbo.Lissu anatelekezwa kwa sababu ya hela unaona hata Msigwa mtandaoni ametengwa wameenda kwa Sugu mwenye hela.
Siasa za nchi yetu zimeshapoteza mwelekeo watu wanaingia kwenye siasa kwa sababu ya njaa zao siyo kwa lengo la kusimamia wanachokiamini ?
Kupambana kwa maneno wakati wa kampeni za uchaguzi sio vibaya. Vibaya ni kuyabebaba ya kwenye kampeni za uchaguzi hadi kwenye masuala mengine. Binafsi sitegemei Msigwa na Sugu wapande gari moja kama enzi za CCM Moja! Na pia sioni kama ni afya wagombea wagombea kura kwa kusifiana. Kama mwenzako ni mzuri kiasi unamsifia kwenye kampeni unagombea nae Ili iweje?Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Nadhani ndiyo tumefanya hiyo kuwa ndiyo mfumo wa chaguzi zetu kama nchi. Ndiyo maana minyukano huwa ni sehemu ya maisha kwenye vyama.
Na kwa sasa inakuwa mbaya zaidi kwa kuwa Msigwa amefanya kama adui wa chama, inafanywa ni sawa kufanyiwa chochote kile kibaya.
Msigwa amepishana misimamo na Mbowe, na kwa bahati mbaya hali ya kufanywa ukipishana na Mbowe ndiyo umepishana na chama ishakomaa.
Hivyo, uchaguzi huo umefanywa kama sehemu ya kumkata mapembe Msigwa au kumtoa kwenye 'ukigogo' ndani ya chama kama ilivyo sasa.
Hata Lissu alipoleta hoja ya kuuweka uwanja sawa wa uchaguzi wa Sugu na Msigwa, naye akaonekana kama anaanza kuwa adui wa chama.
Na kama Mslgwa atashindwa, sijui kama uhai wake kwenye chama utaendelea, maana namuona zaidi nje ya chama kuliko ndani.
Na kama Sugu akianguka, hapo kuna ujumbe mzito ambao Msigwa atapeleka kwa lile kundi la 'wenye' chama, na kuelekea mapinduzi ndani ya chama.
Ova
Wewe fikiria Tundu Lisu ana Mkutano mkubwa Temeke na akina Soka wako busy na maandalizi yule Boniyai aliyekuwa Mlinzi wa Mbowe yuko busy huko Kawe kufungua vijiwe Vya makamanda kule Kawe kwa Halima Mdee
Lisu anahujumiwa na chama chake kwa maslahi ya Chama Dume
HUJAIPATA HOJA YANGU. SIKATAI USHINDANI, ushindani ni mzuri sana BUT PEOPLE ARE TURNING INTO ENEMIES.Hiyo ndio sign ya demokrasia kukua, CHADEMA mpaka kufikia stage uchaguzi wa kanda unakua vuta nikuvute ni hatua nzuri.
Hii ni sign kwamba hata Mbowe atapata upinzani uchaguzi huu, yaani hata nafasi ya makamu mwenyekiti itakua na wagombea wazito.
Ni hivi, kanda zote ziweke vigogo ili tuone demokrasia yenye ushindani.
Kawadanganye walevi wa Mbege 😂..sio lazima viongozi wote wa Cdm waende kwenye mkutano mmoja wa Lissu.
..Cdm ni chama kikubwa. Ni lazima wawe na uwezo wa kutawanyika kufanya mikutano ktk maeneo mbalimbali.
Correct, ninaona na bahati nzuri nimeattend hivyo vitu na sikurudi tena! matusi ambayo mashabiki wanayapenda, matusi ya ngono, and all filthy language! after all mashabiki wote wanakuwa wamevuta bangi and other drugs of the same outcome to brain functioning! hao sio watu , ni wehu, wanayama.......kuna mpaka matusi yanatamkwa na rapper yuko serious kabisa,
Sugu alishamstukia Msigwa kuwa kafika bei, ndiyo maana alikuwa anamjibu shit hata kwenye mdahaloMbowe, Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM
Niliandika hii post May 29, 2024 na mwezi mmoja baadaye inatimia kwa Msigwa kuwa mwanachama wa chama kingine, sio Chadema.Nadhani ndiyo tumefanya hiyo kuwa ndiyo mfumo wa chaguzi zetu kama nchi. Ndiyo maana minyukano huwa ni sehemu ya maisha kwenye vyama.
Na kwa sasa inakuwa mbaya zaidi kwa kuwa Msigwa amefanya kama adui wa chama, inafanywa ni sawa kufanyiwa chochote kile kibaya.
Msigwa amepishana misimamo na Mbowe, na kwa bahati mbaya hali ya kufanywa ukipishana na Mbowe ndiyo umepishana na chama ishakomaa.
Hivyo, uchaguzi huo umefanywa kama sehemu ya kumkata mapembe Msigwa au kumtoa kwenye 'ukigogo' ndani ya chama kama ilivyo sasa.
Hata Lissu alipoleta hoja ya kuuweka uwanja sawa wa uchaguzi wa Sugu na Msigwa, naye akaonekana kama anaanza kuwa adui wa chama.
Na kama Mslgwa atashindwa, sijui kama uhai wake kwenye chama utaendelea, maana namuona zaidi nje ya chama kuliko ndani.
Na kama Sugu akianguka, hapo kuna ujumbe mzito ambao Msigwa atapeleka kwa lile kundi la 'wenye' chama, na kuelekea mapinduzi ndani ya chama.
Ova
Kwani kuna 'mchoro' wako ambao haujawahi kutimia? Kuna watu kisha kuna wewe MdakuziNiliandika hii post May 29, 2024 na mwezi mmoja baadaye inatimia kwa Msigwa kuwa mwanachama wa chama kingine, sio Chadema.
Msigwa ameishi muda mrefu kwenye upinzani kwa maana ya product ya upinzani, lakini sasa hivi yuko CCM. Jiwe moja la upinzani limeanguka.
Ova
Asante sana b..., ujue na mimi nakuaminia hivyohivyo. Kwanza ni mzuri, na una akili na upeo wa juu.Kwani kuna 'mchoro' wako ambao haujawahi kutimia? Kuna watu kisha kuna wewe Mdakuzi
Kiumbe mmoja mwenye akili kuliko wote ninaowafahamu, mi nakukubali sana.
Hili la Msigwa lilianza tangu kipindi kile cha kupinga Wamasai kuhamishwa Ngorongoro, haina shida kuwa na mawazo tofauti lakini namna ambavyo Msigwa alikuwa akli critisize haikuwa na afya kwao, ingawa mimi pia hata sasa bado naunga mkoni Wanadai kuhamishwa NgorongoroNiliandika hii post May 29, 2024 na mwezi mmoja baadaye inatimia kwa Msigwa kuwa mwanachama wa chama kingine, sio Chadema.
Msigwa ameishi muda mrefu kwenye upinzani kwa maana ya product ya upinzani, lakini sasa hivi yuko CCM. Jiwe moja la upinzani limeanguka.
Ova