Pre GE2025 Msigwa na Sugu wamekuwa mahasimu kitu ambacho hakipendezi kwa afya ya chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
naonekana hujawahi kushuhudia hali kama hii [ malumbano] kati ya wawili ndio maana unahisi patakuwa na ugomvi kati yao.
denoo JG , nimemaliza UDSM 1983 wakati kuna hot debates pale UDSM, kama alivyokuwa anasema Ulimwengu. Midahalo ilikuwa inafanyika sana lakini unaona kuwa hawa watu siyo enemies, ni friends trying to create new knowledge, information, philosophize etc etc......you make reasoned arguments and your counterpart responds to them using higher mental faculties!

Mimi siyo wa extended high school kama zenu (I can guess wewe ni young blood, umemaliza hivyo vyuo utitiri vya sasa ambavyo viko below standard by any measure)

Kama uliwaangalia na kuwasikiliza, hawa watu walikuwa kama wanashambuliana.....midahalo educative hatushambuliani. Hii haina afya kwa CHADEMA, unawagawa wanachama AT LARGE at the advantage of your opponents, CCM/ACT!
 
Siku hizi hakuna Midahalo nakubaliana na wewe

Watu wamejaa chuki binafsi tu 🐼
 
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.

Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.

Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.

Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Lissu kamwaga ushuzi wa kunuka katulia pembeni!
 
denoo JG , nimemaliza UDSM 1983 wakati kuna hot debates pale UDSM, kama alivyokuwa anasema Ulimwengu. Midahalo ilikuwa inafanyika sana lakini unaona kuwa hawa watu siyo enemies, ni friends trying to create new knowledge, information, philosophize etc etc......you make reasoned arguments and your counterpart responds to them using higher mental faculties!

Mimi siyo wa extended high school kama zenu (I can guess wewe ni young blood, umemaliza hivyo vyuo utitiri vya sasa ambavyo viko below standard by any measure)

Kama uliwaangalia na kuwasikiliza, hawa watu walikuwa kama wanashambuliana.....midahalo educative hatushambuliani. Hii haina afya kwa CHADEMA, unawagawa wanachama AT LARGE at the advantage of your opponents, CCM/ACT!
Hapa naona umehamia upande wa pili kuzungumzia tabia/hulka za hao wenye mdahalo, usilinganishe wasomi wa UD na wanasiasa unakosea, tabia za watu binafsi au profession mara nyingi zina toa picha ya aina ya mdahalo utakavyo kuwa, kitu ambacho naamini wewe hukukizingatia ndio maana ukaja na huu uzi wa mashaka.

Mfano, Mtu kama Sugu, (HIP iko damuni) sitegemei awe na mdahalo soft popote atapokwenda, huyu naturally ni mtu wa kufoka so anapofoka haina maana kwamba ana ugomvi na mwingine, hapana, hiyo ni aina yake tu ya uwasilishaji wa ujumbe wake mbele ya jamii. Siamini kama kuna ugomvi kati ya wale watu.
 
mtu wa kufoka so anapofoka haina maana kwamba ana ugomvi na mwingine
Not at all my dear! Never! Mtu wa kufoka kwa furaha na urafiki utamuona tu. demeanour yake utaiona tu kuwa huyu ana chuki na fulani. Sugu akifoka kwenye stage za miziki, utaona uso wa furaha kwa mashabiki wake! Akiwa na kufoka kwenye stage na mashabiki wake akifoka kwa matusi/hasira bila ucheshi ( a thing quite unlikely to happen maana anawabembeleza wampe hela) demeanour yake utaiona tu using common observation and intuition, this does not need a trained mind!
 
Hakunaga kufoka kwa furaha

Asili ya Muziki wa kufokafoka ni hasira za black Americans wakikumbuka utumwa wa Babu zao 🐼
 
sugu akiwa anafoka anakuwa na furaha na mashabiki wake....basi if that theory is true, then to copy vitu kama kasuku!
 
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.

Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.

Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.

Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
ukiona hivyo, walikuwa enemy miaka mingi chini kwa chini, imefichuka tu sasaivi kwasababu ni wakati wake kufichuka.
 
Not at all my dear! Never! Mtu wa kufoka kwa furaha na urafiki utamuona tu. demeanour yake utaiona tu kuwa huyu ana chuki na fulani. Sugu akifoka kwenye stage za miziki, utaona uso wa furaha kwa mashabiki wake! Akiwa na kufoka kwenye stage na mashabiki wake akifoka kwa matusi/hasira bila ucheshi ( a thing quite unlikely to happen maana anawabembeleza wampe hela) demeanour yake utaiona tu using common observation and intuition, this does not need a trained mind!
Huijui HIP HOP kule kuna mpaka matusi yanatamkwa na rapper yuko serious kabisa, hiyo ndio nature ya wasanii wake, naona umetumia hisia zaidi kuhukumu hii issue.

Simply sijawahi kuona rapper anafoka huku anatabasamu, labda umechanganya na "wabana pua" wakina Diamond.
 
Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.

Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.

Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.

Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Hiyo ndio sign ya demokrasia kukua, CHADEMA mpaka kufikia stage uchaguzi wa kanda unakua vuta nikuvute ni hatua nzuri.

Hii ni sign kwamba hata Mbowe atapata upinzani uchaguzi huu, yaani hata nafasi ya makamu mwenyekiti itakua na wagombea wazito.

Ni hivi, kanda zote ziweke vigogo ili tuone demokrasia yenye ushindani.
 
Lissu angekuwa na pesa hao vijana mnaona wanamtenga wangekuwa nae muda wote.

Sometime siasa zetu tunazichambua kwa hisia zetu badala ya kuangalia big picture.

Vijana wa CDM na UVCCM kifikra na matendo wanatofautishwa na gwanda tu mengine yote no species zile zile.
Mbona wengi tulishawaona mkuu 'Al Watan'!
Kweli mtu ataweza kuwasahau akina Shonza, Abdul Nondo na wengi wengine waliotoka CHADEMA na kuingia CCM kwa kununuliwa?
Hata leo hii, kundi kubwa lililo chini ya Mbowe ni watu wa maslahikuliko inachodai CHADEMA kukisimamia.. Wengi wamo humu humu JF, na wanafahamika vyema. ya tumboi zaidi
 
Back
Top Bottom