Mbowe kaweka matumaini yake makubwa sana kwa Samia. Binafsi sidhani kuwa ni "RUHWA" ya kupewa pesa, bali ni matumaini yale yale yanayofanana na ujio wa Lowassa wakati ule.Rushwa hupofusha macho
Mbowe alishasema anang'atuka lakini amekuwa kama Prof Lipumba
Kwa nilichoshuhudia Temeke Tundu Lisu akihama Chadema itakuwa Club ya Mbege kama TLP
Umefunguka.Wewe fikiria Tundu Lisu ana Mkutano mkubwa Temeke na akina Soka wako busy na maandalizi yule Boniyai aliyekuwa Mlinzi wa Mbowe yuko busy huko Kawe kufungua vijiwe Vya makamanda kule Kawe kwa Halima Mdee
Lisu anahujumiwa na chama chake kwa maslahi ya Chama Dume
Kitu Nchimbi atamfanyia Mbowe 2025 hatakaa akisahau 😄Mbowe kaweka matumaini yake makubwa sana kwa Samia. Binafsi sidhani kuwa ni "RUHWA" ya kupewa pesa, bali ni matumaini yale yale yanayofanana na ujio wa Lowassa wakati ule.
Na zaidi ya hayo, Mbowe hana tofauti yoyote na Samia kisera. Anaiona CHADEMA ikishirikiana na Samia baada ya 2025!
Lakini asije akajikuta anaachwa kwenye mataa, kwa kuamini "lugha za staha."
Lissu angekuwa na pesa hao vijana mnaona wanamtenga wangekuwa nae muda wote.Umefunguka.
Tulisha anza kuiona picha hiyo, na sasa inakuwa wazi zaidi.
Wataenda kwa Lissu ambaye hawezi kuchafua meza zao ?Umefunguka.
Tulisha anza kuiona picha hiyo, na sasa inakuwa wazi zaidi.
Matokeo yake kulinda image ya mwenyekiti wao wanatumia nguvu kubwa kuliko kuwekeza kwa potential candidate wa urais kwenye chama chao.Umefunguka.
Tulisha anza kuiona picha hiyo, na sasa inakuwa wazi zaidi.
Lissu hana Cha kuwapa hao vijana wenye njaa waende kwenye mkutano wake kupigwa jua bure ?Wewe fikiria Tundu Lisu ana Mkutano mkubwa Temeke na akina Soka wako busy na maandalizi yule Boniyai aliyekuwa Mlinzi wa Mbowe yuko busy huko Kawe kufungua vijiwe Vya makamanda kule Kawe kwa Halima Mdee
Lisu anahujumiwa na chama chake kwa maslahi ya Chama Dume
Uchaguzi wa Nyasa itakuwa kipimo halisi Cha ukomavu wa kisiasa wa Sugu na Msigwa Kama wataendeleza ugomvi baada ya uchaguzi watakuwa hawajakomaa kisiasaUmetuacha kizani kabisa!
Mdahalo wao walifanya nini hadi wawe 'ENEMIES'; walitwangana makonde, walishambuliana bila hoja za kukitetea chama?
Ungependa kutushirikisha tujue kwa nini unahitimisha haya, nasi ingetusaidia kujuwa. Lakini nadhani ume'assume' tu kwamba tuata elewa unachoongelea hapa.
Panapokuwepo na mdahalo, hasa unaohusisha ushindani, ni lazima pawepo na hatihati ya namna fulani, lakini katika hali ya kawaida, baada ya hapo mambo huwa shwari.
Sasa sijui kama kwa ulivyoona wewe kwenye hawa wawili hali itakuwa ni tofauti, hili hatuwezi kulijuwa.
Tena umekwenda mbali zaidi na kuwa nahofu kwamba hali hiyo itaenea na kwingine! Maana yake ni kuwa, pamoja na kutoeleza sababu zako za kudhani hivyo, inawezekana kuna mambo ya ziada chini ya kapeti unayoyajuwa kuwa yamo ndani ya chama, na siyo kwa sababu tu ya hawa wawili kutoana jasho kwenye mdahalo.
Kwa hiyo, wasiwasi wako uelekeze kwenye chama, siyo kwa hawa wawili.
Nilichojifunza nilipoona clip ya mdahalo wao ni kwamba waliugeza kuwa wa kujibizana. Midaho huwa haiko hivi. Midahalo huwa na 'moderator' ambaye huongoza mdahalo na kila upande unafanya presentation na kisha maswali yanafuata na yanatokana na hizo presentations mbili. Maswali yanaweza kutoka kwa audience au kwa presenters wenyewe. Na kabla ya mdahalo huwa zinasomwa kanuni za mdahalo - ni aina gani ya mambo yanaruhusiwa na aina ya mambo yasiyoruhusiwa na mwisho wa mdahalo huwa presenters wanabaki na calmness waliyokuwa nayo kabla ya mdahalo. Mdahalo wa kujibizana hauna maana yoyote - sana sana presenters wataishia kunyoosheana vidole. Enzi za Nyerere na Mwinyi, shuleni tulikuwa na debates. Na kupitia hizi debates wanafunzi walijijunza public speaking skills na jinsi ya kujadili issues na kwa vile debates zilikuwa both inter-school na pia shule nyingine, obviously wanafunzi walijijunza namna mbalimbali za kujadili hoja na mwisho wa debate, wale presenters wa mada na washiriki wengine wanabaki friendly na siyo to turn hostile against each other. Maisha yetu yote ni kwa ajili ya kujifunza na mimi najifunza kila siku, na hasa kujifunza kuwa critical/intelligent/smart thinker na siyo kuwa mtu wa mihemko au 'populist'. Kuwa hivi doesn't help because it's only short-lived and then it dies natural death.Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
Tundu ni mpango wa Mungu. Ukimshinda anaingilia mwenyewe kama alivyomteketeza mmiliki wa vifaru na majeshi.Wewe fikiria Tundu Lisu ana Mkutano mkubwa Temeke na akina Soka wako busy na maandalizi yule Boniyai aliyekuwa Mlinzi wa Mbowe yuko busy huko Kawe kufunguakomw.jw vijiwe Vya makamanda kule Kawe kwa Halima Mdee
Lisu anahujumiwa na chama chake kwa maslahi ya Chama Dume
Pigeni chini Mwenyekiti ndo mtasonga mbele.Mbowe , Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "UPENDO" ila yanajenga UADUI KATI YAO na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishia karibu, itaenea na MAJIMBO mengine na kwenda kwenye ngazi za chini.
Mdahalo wao haukuwa wa friendly people but ENEMIES!
A very good observation. mdahalo wao haukuwa friendly and well moderated, kulikuwa a vipindi wanakuwa katika heat of motion......Nilichojifunza nilipoona clip ya mdahalo wao ni kwamba waliugeza kuwa wa kujibizana. Midaho huwa haiko hivi. Midahalo huwa na 'moderator' ambaye huongoza mdahalo na kila upande unafanya presentation na kisha maswali yanafuata na yanatokana na hizo presentations mbili. Maswali yanaweza kutoka kwa audience au kwa presenters wenyewe. Na kabla ya mdahalo huwa zinasomwa kanuni za mdahalo - ni aina gani ya mambo yanaruhusiwa na aina ya mambo yasiyoruhusiwa na mwisho wa mdahalo huwa presenters wanabaki na calmness waliyokuwa nayo kabla ya mdahalo. Mdahalo wa kujibizana hauna maana yoyote - sana sana presenters wataishia kunyoosheana vidole. Enzi za wakati wa Nyerere na Mwinyi, shuleni tulikuwa na debates. Na kupitia hizi debates wanafunzi walijijunza public speaking skills na jinsi ya kujadili issues na kwa vile debates zilikuwa both inter-school na pia shule nyingine, obviously wanafunzi walijijunza namna mbalimbali za kujadili hoja na mwisho wa debate, wale presenters wa mada na washiriki wengine wanabaki friendly na siyo to turn hostile against each other. Maisha yetu yote ni kwa ajili ya kujifunza na mimi najifunza kila siku, na hasa kujifunza kuwa critical/intelligent/smart thinker na siyo kuwa mtu wa mihemko au 'populist'. Kuwa hivi doesn't help because it's only short-lived and then it dies natural death.
Sijui kama utanielewa. My worries ni kuwa hawa watu , viongozi katika chadema wanajenga uhasama.Kwa hiyo kwenye mdahalo mlitaka waungane mkono? Kama hamkutaka mdahalo mlitaka watumie njia gani kujinadi? Mlitaka waongelee nini? Mlitaka waongee vipi? Acheni woga usiowahusu
Tatizo la Mbowe haijifunzi. CCM hainaga urafiki wa kweli. Shauri zake, na ndio maana amehairisha kustaafu kisa makubaliano na Samiah.Mbowe kaweka matumaini yake makubwa sana kwa Samia. Binafsi sidhani kuwa ni "RUHWA" ya kupewa pesa, bali ni matumaini yale yale yanayofanana na ujio wa Lowassa wakati ule.
Na zaidi ya hayo, Mbowe hana tofauti yoyote na Samia kisera. Anaiona CHADEMA ikishirikiana na Samia baada ya 2025!
Lakini asije akajikuta anaachwa kwenye mataa, kwa kuamini "lugha za staha."
Na Mbowe bado hataamini maneno yako. Halafu baada ya uchaguzi atakuja kuliaKitu Nchimbi atamfanyia Mbowe 2025 hatakaa akisahau 😄