CCM hawataki katiba mpya.Katiba mpya ndiyo msingi maana hii katiba ya sasa inailinda CCM kama ilivyolinda utawala wa wakoloni.
Kuna haja ya hii ajenda kuifanya iwe ya wananchi na siyo CHADEMA pekee bali ya vyama vyoteee.Mbowe aongoze hilo.
Yani kuna muda Mbowe aongee kama mwenyekiti wa CHADEMA na kuna Muda aongee kama mwenyekitu wananchi kwa ajenda hizo- Katiba Mpya & Tume Huru ya Uchaguzi.