Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Msigwa: Spika Ndugai aliniita ofisini na kuniambia nisipojiunga na CCM Ubunge sitaupata

Katiba mpya ndiyo msingi maana hii katiba ya sasa inailinda CCM kama ilivyolinda utawala wa wakoloni.
CCM hawataki katiba mpya.
Kuna haja ya hii ajenda kuifanya iwe ya wananchi na siyo CHADEMA pekee bali ya vyama vyoteee.Mbowe aongoze hilo.
Yani kuna muda Mbowe aongee kama mwenyekiti wa CHADEMA na kuna Muda aongee kama mwenyekitu wananchi kwa ajenda hizo- Katiba Mpya & Tume Huru ya Uchaguzi.
 
Hahaha dah we jamaa na wale wadada sijui wame


Eeh mbona mikutano ya serikali rais alikuwa anasema ccm oyeee
Ndugai hafai kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ameshapoteza sifa
 
Kwakweli hatufanyi sherehe kwa kifo cha mwendazake lakini Mungu katuepusha balaa kubwa sana.

Tutakuwa taifa la wapumbavu tukiruhusu watu aina ya mwendazake kushika madaraka tena
Wala laana ya kuruhusu hilo kutokea haitafutika. Tumeshajua, SUMU HAIONJWI.
 
Taasisi yetu imara ya ujasusi ishajifunza, sasaivi kwa anaetangaza nia ya urais, Cha Kwanza watachunguza URAIA wake,MAANA mnaweza mkalaumu kumbe anaewaongoza sio Raia, kwaiyo hana huruma nanyi,

Na fya ya akili, maana kuongozwa na kichaa Ni hatari, na kingine elimu yake.
Taasisi imara ya ujasusi? Inayoundwa na kutumiwa na mwenyekiti wa CCM anavyotaka? Iliyojaza makada na vijana wa CCM?
 
Kwa kweli vyama vya siasa visirudie tena kutuletea mtu wa aina ya JIWE. Ni laana na aibu kwa Taifa kuwa na kiongozi wa juu kabisa mwenye haiba na tabia na roho mbaya kama ya Mwendazake. CCM wanapaswa kutuomba radhi watanzania kwa kutuletea mtu wa aina ya Jiwe
 
Yalikua maandalizi ya miaka saba ya nyongeza
Na huo ungekuwa mwanzo tu wa kutawala “milele” kama kina PK, YM, N’guesso wa Congo, Biya wa Cameroon, n.k. Unacheza na katiba tu huku bungeni umejaza misukule.
 
Na huo ungekuwa mwanzo tu wa kutawala “milele” kama kina PK, YM, N’guesso wa Congo, Biya wa Cameroon, n.k. Unacheza na katiba tu huku bungeni umejaza misukule.
Huko ndiko tulikokua tuna elekea, upinzani ulishavunjwa nguvu na wabunge wote wamaingia bungeni kwa amri yake.
 
Uwezi ua upinzani kwa mbinu za kishamba dizaini ile ccm wanashindwa kutambua maana ya upinzani nini wao wanafikiri upinzani ni viongozi wa vyama vya siasa bila kujua kero maonevu ongezeke la wanyonge mtaani ndio upinzania
Kwa Wanapropaganda wa CCM hapa JF kila anayeilalamikia au kuikosoa serikali ni CHADEMA. Siku watakapoamka na kugundua kuwa wanawasemea ovyo wananchi wengi tu wa kawaida wasio mashabiki wa vyama labda ndipo watakapoanza kuelewa kwamba wanaharibu badala ya kujenga.
 
Sasa hayo maelezo ndiyo tuyaamini.

Vipi naye spika akisema wala sijawahi kumuita msigwa!!!?

Tutaamini, nani? Au ndiyo ule mwendo wa kufurahia kutekenywa masikio!!?
Kama ni Kiongozi makini na kwamba ni kweli alimuita Msigwa Ofisini kwake akamwambia upuuzi huo, Kiongozi asiye Mzandiki atayakubali maneno aliyoyasema na kuyatetea. Vinginevyo alikuwa remotely controlled to utter such stupid words from somebody else....
 
Kama ni Kiongozi makini na kwamba ni kweli alimuita Msigwa Ofisini kwake akamwambia upuuzi huo, Kiongozi asiye Mzandiki atayakubali maneno aliyoyasema na kuyatetea. Vinginevyo alikuwa remotely controlled to utter such stupid words from somebody else....

Lkn mimi ningemkubali sana msigwa aliliongea hili kipindi kile kile. Mfano angesema juzi nimeitwa na spika na kuniambia hili na hili na hili.
🤣🤣🤣
 
Ngoja watanzania wajifunze sasa kwa miaka hii mitano ya bunge la upande mmoja ! Maybe next time tutajifunza kudai haki zetu maana waliokua wakijaribu waliitwa wasaliti na waliokosa uzalendo , kubwa zaidi waliitwa wachelewesha maendeleo

Huku shutuma hizo zikitoka kwenye chama kilichokaa madarakani tangu uhuru ila watoto wao wanasoma ulaya huku watoto wa wapiga kura wao wakikaa chini kwa kukosa madawati
Inasikitisha na kuumiza mno kwakweli.
 
CCM waliiba kura waziwazi - huu ni ushahidi tosha kwamba Mwendazake Marehemu Jiwe hakuwa mtu msafi kabisa kabisa !!
Ukiwa mtu wa namna hii hata ulinzi wa Mungu kupitia Roho mtakatifu ulijitenga nawe na matokeo yake sasa unakuwa so exposed kwenye ulimwengu wa mateso, magonjwa laana na kifo.

Si mimi, hizi ni baadhi ya sheria kwenye Ulimwengu wa kiroho, wanadamu muwe waangalifu sana.
 
Back
Top Bottom