Msigwa: Tujitafakari, Serikali inashambuliwa mitandaoni vitengo vya Habari na maafisa wapo kimya

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Watu wamwambia watateteaje uongo.

Hawajui kilichomo kwenye ripoti watatetea vipi.

Waziri wa Habari Makonda ajitafakari pamoja na kupewa B2 za content creators hajaisaidia serikali.

HGxsmDFbMAApOme.jpeg
 
Msigwa anataka wajitetee ilimradi wapige kelele tu zisikike, uongo unaojulikana ulimwengu mzima utauteteaje?

Wenzie wanaona aibu!.
Msigwa kufa kiume .....simama kwenye haki na ukweli....piga kimya hiyo ni aibu kubwa......usiingie mfumo kijinga kulinda jizi no 1.....halisafishikiii
 
Kwenye historia ya Tanzania, ukicompile matukio yaliyosababisha vifo vingi kuanzia vita vya Kagera, mapinduzi, ajali za MV Bukoba na treni, unaweza kulinganisha hili kwa ukubwa wake na uzito wa kiuongozi lililopewa na hayo mengine?

Labda waanzie hapo kabla ya kulaumu
 
Watu wamwambia watateteaje uongo.

Hawajui kilichomo kwenye ripoti watatetea vipi.

Waziri wa Habari Makonda ajitafakari pamoja na kupewa B2 za content creators.

View attachment 3579487
Hao maofisa wasiojua chochote kinachoendelea Nchini ni WA kufukuzwa.

Imagine Mimi sio afisa habari Wala Sina wajibu wa kujibu ya wanaoshambulia Kwa nature ya kazi yangu lakini Nina mambo mengi ya ukweli nayafahamu kuhusu Serikali na Huwa nayaandika na kujibu pale napojiskia kiasi kwamba Kuna watu wanajua labda nimepewa kitengo na SSH au CCM wakati hakuna anaenijua kati Yao.

Ni vile Huwa sipendi upotoshaji na uongo na mzalendo wa kweli na shabiki kindakindaki wa SSH.

Hao wanaojiita maofisa habari hata ukiiingia kwenye page za serikali hakuna Cha maana wanawake yaani kiufupi hawajitambui na ni WA kufukuza.
 
Acha kudanganya watu wewe Chobwedo.
Ndio maana Tanzania hapa ukiamua kuwa tapeli unaweza pata pesa sana maana wajinga kama wewe ni wengi sana.

Kwa taarifa Yako tuu jf kwangu ni kijiwe Cha burudani,mabishano ndio kitu kinanipa furaha Sasa nyie mnaochukulia serious mtapata tabu sana.

Nasisitiza Sina wajibu wowote kiserikali Kwa nayoandika ila kama hutaki kama hivyo hivyo na ujinga wako.
 
Hao maofisa wasiojua chochote kinachoendelea Nchini ni WA kufukuzwa.

Imagine Mimi sio afisa habari Wala Sina wajibu wa kujibu ya wanaoshambulia Kwa nature ya kazi yangu lakini Nina mambo mengi ya ukweli nayafahamu kuhusu Serikali na Huwa nayaandika na kujibu pale napojiskia kiasi kwamba Kuna watu wanajua labda nimepewa kitengo na SSH au CCM wakati hakuna anaenijua kati Yao.

Ni vile Huwa sipendi upotoshaji na uongo na mzalendo wa kweli na shabiki kindakindaki wa SSH.

Hao wanaojiita maofisa habari hata ukiiingia kwenye page za serikali hakuna Cha maana wanawake yaani kiufupi hawajitambui na ni WA kufukuza.
Uongo
 
Watu wamwambia watateteaje uongo.

Hawajui kilichomo kwenye ripoti watatetea vipi.

Waziri wa Habari Makonda ajitafakari pamoja na kupewa B2 za content creators.

View attachment 3579487
Sasa watatetea au kukanusha nini wakati kila kitu kipo wazi? Kila kitu kiko wazi:

1. Miili ya wapendwa wetu waliouliwa MO29 ilichukuliwa na CCM na kuchomwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi.

2. Polisi waliowaua raia wasiokuwa na hatia, walionekana wazi na hawajachukuliwa hatua.

3. Munguki waliotoka Kizimkazi walipewa silaha za kuwaua watanzania bila huruma na walionekana wazi mitaani.

Watakanusha nini sasa?
 
Serikali ya samaki,ilijichagua inashindwa kujitetea kilaza Msigwa, na English yako ya katoto kangu ka nursery.
 
Hao maofisa wasiojua chochote kinachoendelea Nchini ni WA kufukuzwa.

Imagine Mimi sio afisa habari Wala Sina wajibu wa kujibu ya wanaoshambulia Kwa nature ya kazi yangu lakini Nina mambo mengi ya ukweli nayafahamu kuhusu Serikali na Huwa nayaandika na kujibu pale napojiskia kiasi kwamba Kuna watu wanajua labda nimepewa kitengo na SSH au CCM wakati hakuna anaenijua kati Yao.

Ni vile Huwa sipendi upotoshaji na uongo na mzalendo wa kweli na shabiki kindakindaki wa SSH.

Hao wanaojiita maofisa habari hata ukiiingia kwenye page za serikali hakuna Cha maana wanawake yaani kiufupi hawajitambui na ni WA kufukuza.
1000330011.jpg
 
Ndio maana Tanzania hapa ukiamua kuwa tapeli unaweza pata pesa sana maana wajinga ni wengi sana.

Kwa taarifa Yako tuu jf kwangu ni kijiwe Cha burudani,mabishano ndio kitu kinanipa furaha Sasa nyie mnaochukulia serious mtapata tabu sana.

Nasisitiza Sina wajibu wowote kiserikali Kwa nayoandika ila kama hutaki kama hivyo hivyo na ujinga wako.
kumbe huwa hauko serious? Ndio maana huwa tunazipuuza hizo takwimu zako kuhusu maendeleo hapa nchini na huwa unaandika uongo mtupu. Hauko serious cc Kipenzi Changu . Si umemsikia bwana choice?
 
Hao maofisa wasiojua chochote kinachoendelea Nchini ni WA kufukuzwa.

Imagine Mimi sio afisa habari Wala Sina wajibu wa kujibu ya wanaoshambulia Kwa nature ya kazi yangu lakini Nina mambo mengi ya ukweli nayafahamu kuhusu Serikali na Huwa nayaandika na kujibu pale napojiskia kiasi kwamba Kuna watu wanajua labda nimepewa kitengo na SSH au CCM wakati hakuna anaenijua kati Yao.

Ni vile Huwa sipendi upotoshaji na uongo na mzalendo wa kweli na shabiki kindakindaki wa SSH.

Hao wanaojiita maofisa habari hata ukiiingia kwenye page za serikali hakuna Cha maana wanawake yaani kiufupi hawajitambui na ni WA kufukuza.

Weka CV mkuu naona unajipigia chapuo.
 
kumbe huwa hauko serious? Ndio maana huwa tunazipuuza hizo takwimu zako kuhusu maendeleo hapa nchini na huwa unaandika uongo mtupu. Hauko serious cc Kipenzi Changu . Si umemsikia bwana choice?
Sihitaji kutoleana ndita na mtu.Elewa tuu kuwa nachoandika ni facts na sikitoi kichwani kwangu Bali kwenye link za habari na tovuti za serikali.

Juzi niliandika Uzi kulaumu waliobadili utaratibu wa hotuba za Tamisemi ambapo zimejaa porojo bila kuweka takwimu kwenye majedwali kama ilivyozoeleka nimeshidwa Kuandika mada zangu za Mapato kupondea kina Mwanza 😆😆
 
Back
Top Bottom