Msigwa: Tujitafakari, Serikali inashambuliwa mitandaoni vitengo vya Habari na maafisa wapo kimya

Msigwa: Tujitafakari, Serikali inashambuliwa mitandaoni vitengo vya Habari na maafisa wapo kimya

Weka CV mkuu naona unajipigia chapuo.
Sijasomea mambo ya habari ila Mimi ni mtafuta habari na mfuatiloaji na msomaji na napenda kujifunza Toka nikiwa mtoto.

Mzee alikuwa Hilo alininunulia redio darasa la 5 na nikaenda nayo Hadi sekondari na huko sekondari nilikuwa nashind library,shule za bweninza zamani zilikuwa vizuri tulikuwa tunaletewa Hadi magazeti ya serikali.

Mwisho Mimi ni Mwajiriwa wa Serikali lakini kazi yangu Haina uhusiano na siasa Wala nachoandika sio taaluma yangu.
 
Hii nchi imearibika ,hata wazee ambao walitegemewa kuwa msaada katika nyakati ambazo ni Ngumu kwa Taifa ili livuke wamekua machawa, taasisi nyeti za kusadia taifa zimejaa machawa , tumefika hapa sio kwa bahati mbaya bali ni sababu ya mifumo muhimu ya nchi kushindwa tambua Taifa kwanza mtu mmoja badae
 
Ndio maana Tanzania hapa ukiamua kuwa tapeli unaweza pata pesa sana maana wajinga kama wewe ni wengi sana.

Kwa taarifa Yako tuu jf kwangu ni kijiwe Cha burudani,mabishano ndio kitu kinanipa furaha Sasa nyie mnaochukulia serious mtapata tabu sana.

Nasisitiza Sina wajibu wowote kiserikali Kwa nayoandika ila kama hutaki kama hivyo hivyo na ujinga wako.
usiseme huna kitengo chochote serikalini, chamani mfu je? Ww kitengo chako kinajulikana, ni lumumba buku 7
 
Sihitaji kutoleana ndita na mtu.Elewa tuu kuwa nachoandika ni facts na sikitoi kichwani kwangu Bali kwenye link za habari na tovuti za serikali.

Juzi niliandika Uzi kulaumu waliobadili utaratibu wa hotuba za Tamisemi ambapo zimejaa porojo bila kuweka takwimu kwenye majedwali kama ilivyozoeleka nimeshidwa Kuandika mada zangu za Mapato kupondea kina Mwanza 😆😆
Sawa unaweza kuwa ni mshabiki wa Mama swali langu kwako je unaamini hiki walichosema tume ya Jaji Chande kuwa waliotekwa ni kwasababu ya mapenzi na madeni? Ni kweli Polepole Katekwa kwasababu ya mapenzi au madeni? kuwa mkweli
 
Sawa unaweza kuwa ni mshabiki wa Mama swali langu kwako je unaamini hiki walichosema tume ya Jaji Chande kuwa waliotekwa ni kwasababu ya mapenzi na madeni? Ni kweli Polepole Katekwa kwasababu ya mapenzi au madeni? kuwa mkweli
Hivi Serikali ulisema inawatafuta wanaoteka watu Kuna ubaya?
 
Hivi Serikali ulisema inawatafuta wanaoteka watu Kuna ubaya?
Bado hujajibu swali ni kweli kutoka moyoni unaamini Polepole kutekwa kwake hakutokani na siasa ni kwasababu ya mapenzi na madeni kama walivyoanisha tume ya Jaji chande?
 
Back
Top Bottom