Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.
Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?
Siasa ni Changamoto.