Mami kinehe !!. Katiba mpya ya wananchi si kwa ajili ya chama fulani kuchukuwa madaraka. Ni kwa ajili ya wananchi kujiamulia mustkbali wao. Katiba mpya si kwa ajili ya uchaguzi tu . Tuna mapungufu mengi sana juu ya wananchi kujiletea maendeleo yao.
Kuna mambo mengi mengine yapo nje ya mada, lakini yanakwamishwa na katiba mbovu hii yenye elements za ki koloni. Mfano mamlaka ya Rais ya uteuzi inatakiwa idhibitiwe. Pili kitendo cha wananchi kuchaguwa watu wao, halafu hao hao wanakosa nguvu dhidi ya wateule wa Rais ni makosa . Mambo ni mengi . Toka nje ya box utaona mwanga