Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Bange ipi hiyo?au unasema ile aliyo ithibitisha jiwe ya kule Njombe?Bangi mbaya sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bange ipi hiyo?au unasema ile aliyo ithibitisha jiwe ya kule Njombe?Bangi mbaya sana.
Kamuulize jiweHuijui unayovuta wewe.
Hii ndio wataalm wa siasa wanaita parochial view------ufinyu wa mawazo!Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.
Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?
Siasa ni Changamoto.
Kama alikuwa ameshakufa akawekwa siku zote hizo mkidhania atafufuka lakini hakupiga wala chafya. Maja kasema uongo wa msikitini mbele xa masheikh kuwa anachapakazi,kumbe mwendazake hayati. Na sasa kivuli cha mzimu ujingameko kinawafunika kudhania kwamba katiba ni faida ya CHADEMA,lakini katiba ni ya Taifa na Tume huru ya uchaguzi mwadhania ni faida ya vyama. Mwendazake alisema upinzani utakufa akafa yeye!Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.
Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?
Siasa ni Changamoto.
Mleta mada Ni mmoja wa wapumbavu ambao mitandao imewakutanisha na watuHii mitandao imerahisisha sana kukutana na wapumbavu.
Mkuu Kwisense ,huyu jamaa ni sukule la CCM. Kutwa kucha yeye ni CDM hivi,Mbowe that,Lissu this!!Kwani nchi kupata katiba mpya ni kwa ajili ya wananchi au CHADEMA?
Kama Idugunde .Mtaji wa CCM ni wananchi walio wajinga.
Kwani si hua mnasema kuongea ni demokrasia sasa mbona unadhulumu demokrasia ya mwenzako ... Wacha aongeeMkuu Kwisense ,huyu jamaa ni sukule la CCM. Kutwa kucha yeye ni CDM hivi,Mbowe that,Lissu this!!
Analipwa kwa kusimanga wapinzani.
A constitutional reform will ensure free and fair elections for all parties and the electorates. The reform will not be biased to any party. "Sijui unalielewa hili?"Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.
Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?
Siasa ni Changamoto.
Siasa yenye afya siyo lazima cha A au B kushika dola. Uhai wa vyama vya upinzani ni Afya kwa demokrasia na maendeleo ya nchi.Hilo lipo wazi kamanda, ishu ni kukamata dola.
Mkuu mbona Mambo ya chadema yanakunyima usingizi,hakuna aliewahi shindana na chadema akabaki salama,Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.
Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?
Siasa ni Changamoto.
Hakuna Cha kujadili,ya jirani mwachie mwenyewe, KWA utafiti upi umefanya kwamba chadema imepoteza dira KWA wafuasi wake?Alafu mipango ya chama na mikakati unataka iwe wazi ili iweje, mbona yatakua maajabuJadili mada husika
Wewe uelewa wako kwenye mambo ya siasa ni mdogo sana. Siyo lazima kushika, uwepo wa vyama vingi ni afya katika maendeleo ya nchi. Juzi madam aliwaambia wabunge wenu "wanademka" hiyo yote ni kwa sababu hakuna ushindani bungeni, kwa nini wasidemke.Je, itawapa shavu kukamata dola?
Wewe ni wa kupuuzwa!Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.