Lyambalyetu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 278
- 255
Manufaa ya Katiba Mpya na nzuri sio lazima yamwaingize CHADEMA uongozini - manufaa ya Katiba Mpya na nzuri ni kwa ajili ya wananchi wenyewe na wale watakaotuongoza wawe ni TADEA, UDP, CHAUSA, ACT WAZALENDO, CUF au chama chochote kile. Issue ni kuongozwa kwa misingi iliyowekwa veme katik Katiba. Ninaona hulielewei hili kwa sababu ya chuki zako dhidi ya CHADEMA!Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.
Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.
Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.
Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?
Siasa ni Changamoto.