kupelwa
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 1,090
- 454
Vijana awa lumumba hawaelewi kutenganisha propaganda na masilahi ya nchi,katiba si sula la vhama vha siasa ni sula kitafa kama mwongozi wa kila mwananchi na ustawi wake.Kwani nchi kupata katiba mpya ni kwa ajili ya wananchi au CHADEMA?
Sasa vijana wa lumumba kwa elimu ndogo ya propaganda ni kukuruuka tu kishabiki,ukiongelea masula ya kitafa punguza mihemuko,ongea hoja.
Katiba si chadema bali ni mali ya umma bila kujali chama cha siasa