Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.

Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.

Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.

Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.

Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?

Siasa ni Changamoto.
Lengo la katiba mpya siyo Chadema au chama chochote kushika dola!
 
Naomba siku moja katiba ibadilishwe ndio nitaamini maneno yako. Mabadiliko yafanywe has a kwenye:
1. Mahajama iwe huru, majaji wasiteuliwe na Rais.
2. Tume ya uchaguzi iwe huru 150%, Mwenyekiti na wajumbe wasiteuliwe na Rais.
3. Ma-DED kamwe wasiwe wasimamizi wa uchaguzi.
4. Matokeo ya Rais yapingwe mahakamani.
5. Kipindi cha kampeni nafasi ya U-Rais ishikwe na Jaji Mkuu
6....
 
Ndio maana nikaandika hata haya yakifanyika hamtakamata dola.
 
CDM kuchukua dola siyo Katiba tu wajaribu kubadilisha aina na mbinu za kuendesha siasa nchini na hususani CDM ichitenge na ukaskazini na ndicho kilichowagharimu 2015 baada ya kuingiza ukanda baada ya kumpata Lowasa.

Kikubwa wabadilishe uongozi wa juu wamwondoe Mbowe aje mwenye mawazo mapya vinginevyo si rahisi kushinda na kuchukua dola kwa mazingira ya sasa. CCM imekuwa ikibadilisha siasa zake kulingana na wakati kwa athari mbaya au nzuri.
Kwani ni lazima wao tu? Vyama si vingi tu..TADEA,ACT etc...
 
Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.

Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.

Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.

Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.

Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?

Siasa ni Changamoto.
Wewe ni mpumbavu sana. No wonder mnabaki masikini wa fikra. Katiba mpya has nothing to do with CHADEMA bali ni kwa ajili ya mustakabali mzima wa muongozo wa Taifa letu.

Umeshuhudia hapa siku chache zimepita toka amefariki Mungu wenu namna ambavyo Katiba Ina gaps za kimuongozo.

Kuna suala la nguvu za Rais kikatiba kwenye maamuzi na uteuzi.

Kuna mambo ya Bunge namna ambavyo tunaona gaps zilizojitokeza ikiwemo namna ambayo spika akifa je itakuwaje? Naibu atakuwa spika automatically? Na kama atakuwa automatically je Naibu wake atapatikanaje? Na itakuwaje?

Je ikitokea wamekufa Spika na Naibu wake inakuwaje? Designated Survivor.

Haya ni mambo baadhi tu, kuna ishu za Muungano hapo ni balaa, sasa wewe umekaa kuwaza pumba zako tu.
 
Katiba si kwa ajili ya chama fulani, ni kwa manufaa ya wananchi wote.
 
Tunataka sauti za wananchi ziheshimiwe, waliopo madarakani wakae kwa ridhaa ya wananchi na siyo kwa nguvu ya dola. Katiba itakoyowezasha hayo ndiyo inahitajika. Suala la chama gani kitakuwa madarakani si msingi wa hoja.
 
Unaweza kupata katika mpya isiyo kidhi mahitaji ya CDM wanasahau kuwa waliopo bungeni ni CCM unadhani wanashindwa vip ku edit vipengele kandamizi kwao
 
Wewe ni mpumbavu sana. No wonder mnabaki masikini wa fikra. Katiba mpya has nothing to do with CHADEMA bali ni kwa ajili ya mustakabali mzima wa muongozo wa Taifa letu.

Umeshuhudia hapa siku chache zimepita toka amefariki Mungu wenu namna ambavyo Katiba Ina gaps za kimuongozo.

Kuna suala la nguvu za Rais kikatiba kwenye maamuzi na uteuzi.

Kuna mambo ya Bunge namna ambavyo tunaona gaps zilizojitokeza ikiwemo namna ambayo spika akifa je itakuwaje? Naibu atakuwa spika automatically? Na kama atakuwa automatically je Naibu wake atapatikanaje? Na itakuwaje?

Je ikitokea wamekufa Spika na Naibu wake inakuwaje? Designated Survivor.

Haya ni mambo baadhi tu, kuna ishu za Muungano hapo ni balaa, sasa wewe umekaa kuwaza pumba zako tu.
Nafikiri mpumbavu ni yule anayejibu hoja bila kuelewa inahusu nini.
 
Naomba siku moja katiba ibadilishwe ndio nitaamini maneno yako. Mabadiliko yafanywe has a kwenye:
1. Mahajama iwe huru, majaji wasiteuliwe na Rais.
2. Tume ya uchaguzi iwe huru 150%, Mwenyekiti na wajumbe wasiteuliwe na Rais.
3. Ma-DED kamwe wasiwe wasimamizi wa uchaguzi.
4. Matokeo ya Rais yapingwe mahakamani.
5. Kipindi cha kampeni nafasi ya U-Rais ishikwe na Jaji Mkuu
6....
Jiwe ametusaidia sana kuyajua zaidi haya. Yameimbwa miaka mingi lakini yalipingwa na wengi. Utawala wa Jiwe yamekuwa wazi zaidi kiasi ambacho hata wapingaji wataona aibu.
 
Katiba si kwasababu ya chadema(hivi upo serious unnawaza hivyo kweli!?)
Bado ssna kwakweli watz kuamua nchi yao isonge mbele.
No wonder wanashangilia madaraja.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.

Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea.

Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi.

Iwe kwa mtutu wa bunduki au kwa kura watu hukamata dola kwa nguvu ya umma. Sasa hivi Chadema haina sapoti ya nguvu ya umma.

Nini tatizo? Chadema ni kama mali ya mtu? Inawapiga madili na wajaza matumbo sana?

Siasa ni Changamoto.

Uselfish unawaponza wengi kutoka mikoa ya kaskazini, chukua kalamu na daftari list viongozi wote waliomo chadema, kama sio 90% ya wachagga basi 10% other tribes. Binafsi navyoona mimi, hii ndio inawafanya waonekane wabinafsi, na mwisho kabisa kukosa kura kwa wananchi wanaojitambua.. .. Ebu fanya research!
 
Back
Top Bottom