Wewe ni mpumbavu sana. No wonder mnabaki masikini wa fikra. Katiba mpya has nothing to do with CHADEMA bali ni kwa ajili ya mustakabali mzima wa muongozo wa Taifa letu.
Umeshuhudia hapa siku chache zimepita toka amefariki Mungu wenu namna ambavyo Katiba Ina gaps za kimuongozo.
Kuna suala la nguvu za Rais kikatiba kwenye maamuzi na uteuzi.
Kuna mambo ya Bunge namna ambavyo tunaona gaps zilizojitokeza ikiwemo namna ambayo spika akifa je itakuwaje? Naibu atakuwa spika automatically? Na kama atakuwa automatically je Naibu wake atapatikanaje? Na itakuwaje?
Je ikitokea wamekufa Spika na Naibu wake inakuwaje? Designated Survivor.
Haya ni mambo baadhi tu, kuna ishu za Muungano hapo ni balaa, sasa wewe umekaa kuwaza pumba zako tu.