Tatizo kubwa watanzania wengi bado ni wajinga...Kwani nchi kupata katiba mpya ni kwa ajili ya wananchi au CDM..?
Tatizo kubwa watanzania wengi bado ni wajinga.
Kwani nchi kupata katiba mpya ni kwa ajili ya wananchi au CDM..?
Shangaa na weweKwani nchi kupata katiba mpya ni kwa ajili ya wananchi au CDM?
CDM kuchukua dola siyo Katiba tu wajaribu kubadilisha aina na mbinu za kuendesha siasa nchini na hususani CDM ichitenge na ukaskazini na ndicho kilichowagharimu 2015 baada ya kuingiza ukanda baada ya kumpata Lowasa.Katiba Sio ya chama Bali ya watanzania na taifa.Anayeamini katiba ni kwa ajili ya vyama ni mjinga.Katiba ndo uhai wa taifa letu miaka mingi ijayo
CDM kuchukua dola siyo Katiba tu wajaribu kubadilisha aina na mbinu za kuendesha siasa nchini na hususani CDM ichitenge na ukaskazini na ndicho kilichowagharimu 2015 baada ya kuingiza ukanda baada ya kumpata Lowasa. Kikubwa wabadilishe uongozi wa juu wamwondoe Mbowe aje mwenye mawazo mapya vinginevyo si rahisi kushinda na kuchukua dola kwa mazingira ya sasa. CCM imekuwa ikibadilisha siasa zake kulingana na wakati kwa athari mbaya au nzuri.