Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

Kwani nchi kupata katiba mpya ni kwa ajili ya wananchi au CHADEMA?
Vijana awa lumumba hawaelewi kutenganisha propaganda na masilahi ya nchi,katiba si sula la vhama vha siasa ni sula kitafa kama mwongozi wa kila mwananchi na ustawi wake.
Sasa vijana wa lumumba kwa elimu ndogo ya propaganda ni kukuruuka tu kishabiki,ukiongelea masula ya kitafa punguza mihemuko,ongea hoja.
Katiba si chadema bali ni mali ya umma bila kujali chama cha siasa
 
Ungejitendea haki mno kama ungeficha ujinga uliyo nao, yani wewe katiba bora kwako ni Chadema kushika dola.

Lakini huna kosa saana kihivyo kwani wa sampuli yako wako wengi wanaofikiri kuwa na katiba bora ni kuifanya Chadema ishike madaraka ila hujui kwamba katiba hiyo hiyo bora ndio ikipatikana kukiondoa chama chochote kibovu madarakani inakuwa rahisi.

Anyway, kwa kuwa na mawazo finyu namna hiyo ndio chanzo cha watu kama nyie kujifunza kupitia medium kama hizi.
 
Magufuli amekufa inasikitisha kwamba wewe bado upo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…