Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

..mambo mengi anayoonya Lissu huja kutokea.

..alimuonya Magufuli kuwa serikali itashitakiwa na kulipishwa mabilioni.

..kweli serikali imeshindwa kesi nyingi na tunaingia hasara ya mabilioni.

..Lissu alionya kwamba maridhiano ni uongo Ccm hawana nia ya dhati.

..mauaji ya Mzee Kibao, Soka na wenzake, Kipanya, no uthibitisho wa kauli ya Lissu kwamba maridhiano ni ulaghai.
 
Ulivyoandika tu, namna yako ya kuandika inaonesha una shida kichwani mwako. Kwa mtu aliye timamu kichwani hata kama hukubaliani na Lisu anavyowasilisha fikra zake, ungeweza kuwasilisha hoja zako kwa mantiki na siyo kuropoka kama ulivyofanya.
 
Kawaida ya watu wenye akili kubwa huyaangalia mazingira yaliyopo, kisha huyaona mambo ya mbeleni kabla hayajatokea.
 
Alikuwa ana uhakika kwamba serikali ndo ilitaka kumuuwa.
Kwa vile TL ni mwanasheria, angekuwa ana uhakika, anajua ni nini cha kufanya!, hana uhakika, na waliotaka kumuua ni watu wasiojulikana ambao mpaka sasa hawajajulikana, Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Maridhiano gani yasiyohusisha hilo suala?
Maridhiano ni a political process, shambulio la TL ni criminal issue, kukitokea uhalifu wowote ambao serikali haiwajui wahalifu, huwezi kuileta issue kama hiyo mezani.
Na wakati hata alipoiomba serikali imuhakikishie ulinzi, serikali ilinyamaza?
Yes, hata ningekuwa mimi ndio serikali, nisingeweza kumhakikishia usalama wake kwasababu siwajui waliomshambulia, hivyo wanaweza kumaliza kazi na kuiingiza serikali into disrepute. Kama wasiojulikana wale walikuwa ni watu wao, then serikali ingeweza kumhakikishia usalama wake, maana wasingewatuma tena kumaliza kazi.

Hata hivyo tuko akina sisi, tulimhakikishia usalama wake na akarejea Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P
 
Mkuu kwanini unajificha tunajua wewe ni mfuasi wa ZZK na sio Lisu , ila kwa Sasa Tanzania ni Lisu pekee anaweza kuongea watu wakatoka mafichoni sababu kuu ni ANAAMINIKA pande zote
Mkuu baro , wewe utakuwa hunijui mimi vizuri, mimi sio mfuasi wa mtu yoyote, tena licha ya kuwa ni kada, sio mfuasi na aliyepo, ila siko nae kinyume, ila kuna watu nawakubali sana akiwemo ZZK, na hata TL, namkubali sana tuu, kwanza kwasababu ni mdogo wangu wa Ilboru, sasa mimi kama kaka, najitahidi sana kumrudi from time to time, sasa nikimrudi, kuna majinga yanadhani namchukia, no .

Ni mimi ndiye nilimshauri kugombea urais Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Nimemsifu kwa kuwa mkweli Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA

Nlimuombea kwa Blaza, ateuliwe Mbunge For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

Hapa nimempongeza Hongera ITV kumhoji Tundu Lissu. Hongera sana Tundu Lissu kuzungumza kistaarabu kwa lugha za staha. Ruksa kuhisi chochote, sio fair kutaja majina!

Alipotaka kurejea Tanzania baada ya shambulio, aliomba IGP amhakikishie usalama wake, IGP ali mute, ni mimi nilimhakikishia usalama wake ndipo akarejea Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!

Ila kwenye uchaguzi wa 2025, kwasababu Watanzania tumeamua twende na mwanamke, na mwanamke mwenyewe anafahamika, naujua mdomo wa Lissu asivyo na breki, hivyo atamuogesha kwa ..., hivyo nimemshauri Lissu asigombee ili asipate aibu ya kushindwa na mwanamke!. Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

P.
 
Umeshasahau tayari ile kesi ya udukuzi wa Tigo? Ndo maana unasema hana uhakika kwamba ni nani alitaka kumuuwa?
 
Unaota ndugu
 
Duh。。。!。Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
P
 
Kuna kitu niliuliza hapa, swali hili bado ni valid.
P
 

Tanzania lazima tuamue tunataka nchi ya vipi maana vinginevyo tunaenda kwenye mtafaruku mkubwa huko mbele

 
Kuna kitu hapa nilikiona na nikakisema, sasa kesho saa 5 asubuhi kinakwenda kutangazwa nyumbani kwa Mbowe.
P
 
Wajumbe wa Baraza Kuu Chadema, leo tuleteeni huyu mtu aje ayanyooshe haya majinga ya Chadema!.
P
 
Tuungane kumu wish Tundu Lissu all the best leo.
YEYE atatenda!
Sema Amen!.

Ushindi wa Tundu Lissu kesho ni muhimu ili October, YEYE aonyeshe uwezo wake kwa kulifanya lile jiwe lililokataliwa na waashi, YEYE atalifanya kuwa jiwe kuu la pembeni!.

P
 
Naona press yake imekosa mvuto tuliouzoea wa chadema. alifanya kitu kibaya kumtukana/character assasination kwa Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…