Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Wanabodi,
je Lissu bado ni asset kwa Chadema, au kwa sasa, Tundu Lissu is liability?. Sisi waona mbali, kuna kitu hapa tunakiona kwa mbali, kisipokuwa handled with care, it's going to cost Chadema very dearly.

Wasalaam

Paskali
Nimeyasikiliza haya mahojioano ya Tundu Lissu kwenye the big Agenda,
View: https://www.youtube.com/live/IqmxT2cZNSM?si=qjvW-cKLneuT2227Hili swali bado ni very valid
je Lissu bado ni asset kwa Chadema, au kwa sasa, Tundu Lissu is liability?. Sisi waona mbali, kuna kitu hapa tunakiona kwa mbali, kisipokuwa handled with care, it's going to cost Chadema very dearly!.
P
 
Ungefanya reference ya jinsi Tundu Lissu kwa tabia yake alivyowahi 'ku cost dearly' taaisi au harakati zozote alizowahi kushiriki au kuongoza ningeweza angalau kupata angle ya kutafuta namna ya kukubaliona na uoni wako. Kinyume na hapo utakuwa unaongea kama akina Mwashambwa tu.
Umeanza kwa kujiita muona mbali, hongera sana, lakini mimi naoba umejenga defence tu ili kuogopa kwa challenged.
Ungekuwa ni muona mbali kweli unadhani ungethubutu kuchukua form pale Kaww? Kuna kuona mbali na kuvujishiwa taarifa, hayo ni mambo mawili tofauti. Katika hili la T.L, nikionacho hapa unafanya kazi ya Chama zaidi kuliko uchambuzi wa muona mbali.
Tuwe wa kweli, kama siyo T.L hii agenda ya maridhiano ilikuwa ndiyo iwe kaburi la CHADEMA lakini T.L aliamua kwenda kinyume na Mwenyekiti wake, ndiye alianza amshamsha mpaka mkaanza kusema hana shukrani kwa rais Samia, Lissu alionekana kuwa na hija zaidi na kuirudishia uhai CHADEMA, je hiyo ndiyo reference yako ya mamna atakavyokuja kui cost CHADEMA dearly?
Yaani CCM itafaidika zaidi na akina Makonda na CHADEMA kupata hadara kwa kuendelea kuwa na T.L?
Kwamba pamoja na onyo la CDF, CCM itafaidika zaidi ikiwa na akina Bashe, Bashungwa, na akina Biteko huku CHADEMA ikipata hasara kwa kuwa Tundu Lissu? Ni uoni upi huo unaouongelea mkuu?
 
Lissu bado anahitajika, huo mfumo wa mabeberu unaousema sijui unatumia reference ipi au ndiyo yale yale ya kutaka kujidunisha kimaisha ili uonekane ndiye mzalendo wa kweli.
 
Inabidi wampuize kwa kuwa wanaelewa tu uchungu alio nao kwa majeraha aliyopata hawezi kuwa sawa, ni watu wa aina ya Mdude Nyangali, Suzan Kiwanga ndio wafuasi wa sera za Lissu. Wana vitu vinawauma
Maridhiano Uchwara......Lissu siku zote yuko mbele ya Muda.
 
Paskali wewe ni Mwandishi Mzuri sana lakini umeshindwa kabisa Ku comprehend uwezo wa Lissu.

Alishindwa kuelewa JPM na wewe hutoelewa kamwe.

Tundu Lissu huwa yuko Mbele ya Muda siku zote.

Yako wapi sasa.
 
Huyu lissu ni mtu mbishi na mbinafsi kwa kuzaliwa. Sera ya maridhiano naturaly hatamudu. Hajui kukubali au kuridhia kitu au kujenga chochote ila kubomoa tu na kupata mkate wake kwa njia hiyo.
Ccm ikubali maridhiano ya Katiba Mpya ma Tume Huru ya Uchaguzi?

Lissu alipowaumbua kwenye hii ndio mkakasirika sana na kumwita mbinafsi.

It was comming, muda ni mwalimu mkubwa.
 
Mkuu PakiJinja , kitendo cha kuniweka mimi kundi moja na machawa, sio kunitendea haki!, mimi sio chawa!.
Angalia hoja hii Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

Pia angalia hoja hii Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!

Na mwisho angalia angalizo hili Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!" sijui ni wangapi humu wanaweza to connect the dots za the consequences!.

Take it from me, he is going to cost Chadema very dearly!.
NB. Mimi pia nina kipindi changu
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=vLfF8Qg-CmonzWCX kuna siku nitamwalika Tundu Lissu.
P
 
Leo nimemsikia tena TL, nimejikumbusha hili bandiko maana naanza kusikia kauli za ki liabilities na sio kauli za ki assets.
This is the early signs of impending doom!.

P
 
J
Jibu umepata bwana njaa
 
Alikuwa ana uhakika kwamba serikali ndo ilitaka kumuuwa.

Maridhiano gani yasiyohusisha hilo suala? Na wakati hata alipoiomba serikali imuhakikishie ulinzi, serikali ilinyamaza?
 
Lissu amewazidi akili wengi kule CHADEMA
 
Leo nimemsikia tena TL, nimejikumbusha hili bandiko maana naanza kusikia kauli za ki liabilities na sio kauli za ki assets.
This is the early signs of impending doom!.

P
Mkuu kwanini unajificha tunajua wewe ni mfuasi wa ZZK na sio Lisu , ila kwa Sasa Tanzania ni Lisu pekee anaweza kuongea watu wakatoka mafichoni sababu kuu ni ANAAMINIKA pande zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…