Umesoma historia ya tiger countries? Kati ya historia Huwa zinani sisimua ni ya Singapore, usilaumu wazungu, viongozi wetu wengi ni ma Puppet wa wazungu na wameamua kuwa hivyo, hawajalazimishwa, why blame a white man? Nchi kibao Asia huko in 1960s zilikuwa masikini, mbona zimeinuka kiuchumi? Tuna viongozi wa ajabu sana...wanaona ufahali kupiga picha na wazungu kukaa na wazungu, kwenda ulaya lakini hawana mikakati ya kututoa hapa.
Wanajiona wana belong zaidi na wazungu, lakini siku zote mzungu hawezi heshimu mtu mjinga, wanatumia ila moyoni they know we are stupid and foolish. They just use us as they want.