Msikilize Mzungu akitoa sababu za Sub-Saharan Africa kuwa Masikini

Mjinga ni wewe ambae unasema historia imeanza 3100bc na kwenye kitabu haimo..
 
Walituwahi mapema kututawala na kutupandikizia mitaala yao hao wa Asia like China walishituka mapema wakakataa na walitumia nguvu kubwa sana kujinasua kwenye ukoloni
 
Si mtindo wake ulikuwa bovu? Zimbabwe walikuwa wapi kabla ya mwaka 2000, sasa wako wapi?
Fuatilia mwanzo wake alishangiliwa sana kama mandela.
Alipoanza kufany land reforms ardhi imilikiwa na Wazimbabwe ndio ikawa mwisho wake
wa kushangiliwa na kuanza kuwekewa vikwazo.
Mandela mwenyewe aliwauza wasouth 90% ya ardhi wanamiliki makaburu.
 
Shida ya Africa ni African leaders wazungu tuna wa tumia kama scapegoat tu, to hide our weakness
Mifumo wote bro umesha setiwa,kuanzia kwenye mentality ya MTU Moja-angalia African leaders wa Zamani walipambana sana kuondoa hii kitu lakini mwisho wa siku walishidwa kutokana na kukosa support kutoka kwa Wafrika wenzao.
 
Kwa kuwa wamisha weka mifumo yao kuanzia ngazi za kiuchumi,kijamii na kisiasa the only way ya kujinasua na Afrika nzima kuungana pamoja.Hili la kuungana nalo linakuww gumu sana kutokana na bara LA Afrika kuwekwa waarabu ambao sana race tofauti na sisi.
 
Usikasirike..
Hujaonyesha ni wapi kwenye kitabu chako imeandikwa historia ilianza 3100bc?
 
Mifumo wote bro umesha setiwa,kuanzia kwenye mentality ya MTU Moja-angalia African leaders wa Zamani walipambana sana kuondoa hii kitu lakini mwisho wa siku walishidwa kutokana na kukosa support kutoka kwa Wafrika wenzao.
Hao ma African leaders wa zamani ni kama wakina nani? Wakati hao hao ndo wametutegenezea misingi mibaya kwa kusaka umarufu binafsi
 
Hiyo ni north Africa, sio lazima tuungane nao.
 
[emoji16][emoji16] unarejesha funguo kwa nani ndugu mchangia uzi ? Damn you make my day mkuu.
 
Almost technolojia mingi sana zimeanzia Africa... walichofanya wao ni ku modify na kuziboresha while wakaziua zetu then baada ya hapo ni historia ilobakia.
 
Muamari Gadafi ampepambana sana kuingunisha,
kina Ahmed Ben Bella.
Nyerere ndio akatutoa kwenye reli kabisa kwa kuja na sub-region,
Mpaka Nkwameh Nkrumah akamwita ni msaliti na puppet.
 
Wa Africa bado tutaendelea kuwa duni na kutupa kijiti kwa watu wa europa na mabara mengine kuwa ndio wametufikisha hapa.

Sisi ndio wakujinyooshea vidole kwanza wavivu wa kufikiri sana, pili uchu na uroho ni bora apate mtu mwengine lakin huyu mwenzang asipate, tatu tunajiibia sana yaani tunajitekenya alafu tunacheka wenyewe.

Kuanzia makuzi mpaka mtu anashika madaraka anachofikiri nikipata nafasi nipige tu, na anapiga kweli. Tusiwape lawama wale watu tunatakiwa tujichunguze kwanza sie. Hii ngozi black hii ina matatizo lukuki, ukitoka hapo sasa ndo tuanze kutupiana lawama
 
Hili ndio mnalijua leo? Binafsi mi naelewa hili suala takribani miaka 15 iliyopita... Ukweli ni huu hapa MZUNGU NDIE MMILIKI WA KEKI YA DUNIA ANACHAGUA AMPE NANI NA KWA WAKATI GANI. Hta hizo nchi za asia ambazo uchumi wake umekuwa kwa kasi ni mzungu alieruhusu hilo litokee na si vinginevyo

Angalia mfano nchi km china ni nani aliefanya china iwe ilivyo km sio mzungu?

All in all waafrica bado tuna nafasi km tukiamua kwa dhati kujikwamua kwenye dhiki tulizonazo na tukae tukijua option ni moja tu ni kudeal na mzungu, sasa njia gani tutatumia hilo ni suala lingine na linahitaji mada yake
 
Huko nyuma sisi tulikua tunajiweza kwa kila kitu tulikua na mahitaji yote na tungeweza kuwauzia wao wazungu ika kutokana na uzwazwa wetu walitulaghai na kutupora kwa njia ya kututawala
Sisi tulikuwa tunajiweza kwa kila kitu? Wewe kweli ni zwazwa.
 
Umenena vyema mkuu

Mabotu alijenga mahekalu kwake, akatumia fedha anavyotaka. Tuachane na mambo ya Congo, tuje hapa hapa Bongo.

Ufisadi wote wa kutisha mpaka watu wanamfukuza kazi CAG, mzungu amesababisha vipi? Mzungu ndiye alienyoosha risasi kumtwanga Lissu? Mzungu ndie anayekufanya ununue ndege pasipo ridhaa za Bunge? Mzungu anahusika vipi na watu wasiojulikana?

Watu wapumbavu ndio ambao wanapenda kutupa mzigo wa lawama kwa wengine.
 
Hao ma African leaders wa zamani ni kama wakina nani? Wakati hao hao ndo wametutegenezea misingi mibaya kwa kusaka umarufu binafsi
Hahaha akina Mobutu, Iddi amin n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…