TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Mkuu ulichoandika ili nihalalishe nilichosema ni hapana, ila nilichoandika kina jambo la juu zaidi either uelewa wako ni mdogo.
Mambo ya kodi nk ni mambo madogo mno kwa mataifa beberu, eavy issues zao zikiguswa ndipo huwa wanatoka vitini ila hayo mambo ya mmeibiana na kurogana ni utoto wenu.
Mfano, nini sababu ya kumuua Gaddaf..?
Mambo ya kodi nk ni mambo madogo mno kwa mataifa beberu, eavy issues zao zikiguswa ndipo huwa wanatoka vitini ila hayo mambo ya mmeibiana na kurogana ni utoto wenu.
Mfano, nini sababu ya kumuua Gaddaf..?
Yaani unataka kusema umaskini wa Afrika,hususani TZ,umesababishwa na nchi za magharibi?sasa hebu tuanze kidogo,
Anayekusanya Kodi kupitia TRA ni nani?
Anayepanga idsdi ya wabunge,mikoa,wilaya,harmashauri ni nani?
Anayeamua kutumia MaV8 kwa kila ofisa wa serikali ni nani?
Ufisadi kama anglokeasing kule Kenya,EPA,escrow,loliondo gate,na wizi mwingine mwingi uliojaa serikalini unqfsnywa na nani?
Kusingizia wazungu kwa shida zetu kwa asilimia 100,ni uvivu wa kufikiri,na kukwepa kuwajibika,hizi ndio akili za Kiafrika,wakishindwa kufafanua kitu,watasema uchawi,wakiona mkinga Kawa tajiri,watasema amemtoa ndugu yake kafara,au anatembea na mama yake,mchaga na muhaya wakiwa matajiri,watasema hao wameiba,ni wezi sana.