Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana

Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana

"Kilichonifanya niache kuendelea kuimba muziki wa bongo fleva ni kutokana na mkataba niliokuwa nimeingia na bendi ya TOT, kiukweli nilibanwa sana na kupelekea kukosa muda wa kuangalia mambo mengine. Ila kwa sasa nimerudi rasmi na siku si nyingi nategemea kuachia albamu yangu", amesema Pauline Zongo
 
Inasikitisha sana kwakweli

Picha yake ya zamani she was so beautiful

Ila kwa experience yangu namna ninavyomuona huyu demu hakuna ubishi anatumia 'powder' au alishatumia ikamuathiri
Mi nilihisi hivyo lakini yeye mwenyewe anasema ni ajali tu
 
Dah, anahitaji msaada kwakweli. sijui kama hata kama wasanii wenzake wanampa support

Dunia haiko hivo mkuu. Shida zako ni zako. Hata leo unaokunywa na kula nao..likikupata watakuja kukusalimia kwa kukusanifu. Kuangalia unaishi mazingira gani......au kama ni msiba kuangalia kama ulijenga kwenu....au ulikuwa mtu wa bata na mademu. Ndivyo binadamu tulivo. Hali ya Pauline Zongo inasikitisha lakini hana budi kupambana na hali yake. Hana namna.
 
Back
Top Bottom