Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YapHivi huyu Paulina si kuna kipindi fulani aliolewa na yule muigizaji Mtunisi?
Jamaa alikua demu wake alizaa nae akakataa mtoto.Halafu Mungu alivyo fundi akatoa copy inamfanana Mtunisi balaa ila Mtunisi akakaza hvyo hvyo kumkataa mtoto.Hivi huyu Paulina si kuna kipindi fulani aliolewa na yule muigizaji Mtunisi?
TOT wako wapi? Si alipita huko pia na 'Mnyonge Mnyongeni'?Kina FA, AY wako wapi wampe hata company
WameMTELEkeza...! [emoji846]Wamtekeleza
Mi nilihisi hivyo lakini yeye mwenyewe anasema ni ajali tuInasikitisha sana kwakweli
Picha yake ya zamani she was so beautiful
Ila kwa experience yangu namna ninavyomuona huyu demu hakuna ubishi anatumia 'powder' au alishatumia ikamuathiri
Kitambo sana mzee umenikumbushadays of our life
Ahahaa,mi nimeshindwa kuisikiliza yote mhojiwa anaongea kiswahili cha kidhungu sana.Mtangazaji anashindwa kusema Crazy?!
Huyu Mzee ana miaka 74,kwa hiyo hata vidole vyake vinatetemeka anapobonyeza button za keyboard.WameMTELEkeza...! [emoji846]
Dah, anahitaji msaada kwakweli. sijui kama hata kama wasanii wenzake wanampa support
Nimechukua hao kama sample tu ambao ndo angalau wamefanikiwa zaidi.TOT wako wapi? Si alipita huko pia na 'Mnyonge Mnyongeni'?
Umeangalia video lakini?Ila beuty span ya mwanamke ni kipindi kifupi mno.
14-25 baada ya hapo sasa inategemea ni kabila gani na anakula nini[emoji16][emoji16].
Pauline ashajichanganya na madawa kawa bibi.