Msikilizeni Tundu Lisu ambaye anawatangazia kuwa hakuwa sehemu ya maridhiano, wala kumkaribisha Samia Bawacha, anamlaumu Mbowe na wenzake

Shida ya Lissu hashikiki. Na ni mbishi. Hana woga, anajiamini sana. Na kipindi ambacho sisi tunataka utulivu yeye huwa hajali. Kwa CCM Lissu hapaswi kabisa kupewa huo uenyekiti. PIGA UA ASIPATE IWE KWA JUA AU MVUA. MBOWE ANATOSHA SABABU CCM TUNAWEZA KAA NAYE KUJADILIANA BILA TATIZO. KIKWETE ALISHAWAHI SEMA LISSU ASIPATE UBUNGE BORA SLAA AWE RAIS
 
Uongozi si nguvu subiri sanduku la kura kama wajumbe wataamua aendelee ataendelea sisi tutabaki tunapiga kelele mitandaoni.
 
Kwa sasa kumtetea dj, ni sawa na kujipaka kinyesi, nakushauri upumzike kama lilivyo jina la ID yako.
 
Kwa sasa kumtetea dj, ni sawa na kujipaka kinyesi, nakushauri upumzike kama lilivyo jina la ID yako.
stop that nonsense, umejibu hoja, jibu hoja za kwenye clip. Wafu ndio wamepumzika, walio hai bado, we have some duties to attend!
 
Asanteee (in Zung's Voice). Hawa jamaa wanahangaika bure kujaribu kumchafua Lisu.

Na kadri wanavyopambana na hoja za Lisu ndiyo wanazidi kuchafuka wao zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…