Msikilizeni Tundu Lisu ambaye anawatangazia kuwa hakuwa sehemu ya maridhiano, wala kumkaribisha Samia Bawacha, anamlaumu Mbowe na wenzake

Msikilizeni Tundu Lisu ambaye anawatangazia kuwa hakuwa sehemu ya maridhiano, wala kumkaribisha Samia Bawacha, anamlaumu Mbowe na wenzake

Moderators spare this clip

Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa

Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal

Lisu nilimpenda sana kuliko wanasia wote, msikilize please! Quinine Bezecky Moisemusajiografii Minjingu Jingu 4 7mbatizaji

"TUNDU LISSU WAWILI HAWA WAKIKUTANA WATAELEWANA?

View: https://youtu.be/rTWpnMO7kto?si=54k-QsjtgmlxtnQw

Pascal Mayalla tafadhali sikiliza hiyo

Shida ya Lissu hashikiki. Na ni mbishi. Hana woga, anajiamini sana. Na kipindi ambacho sisi tunataka utulivu yeye huwa hajali. Kwa CCM Lissu hapaswi kabisa kupewa huo uenyekiti. PIGA UA ASIPATE IWE KWA JUA AU MVUA. MBOWE ANATOSHA SABABU CCM TUNAWEZA KAA NAYE KUJADILIANA BILA TATIZO. KIKWETE ALISHAWAHI SEMA LISSU ASIPATE UBUNGE BORA SLAA AWE RAIS
 
Team Mbowe someni alama za Nyakati umma ukikutaa umekukataa haijalishi una chema gani, na umma ukikubali umekukubali haijalishi una mapungufu gani!.

JPM umma umemkubali licha ya mapungufu yake kibao
Mbowe umma umemkataa licha ya hayo mnayoona ni mazuri yake!

Kama Mbowe ni Pilau watu wameila kwa miaka 20 wameichoka, wanataka kubadili msosi, hata kama ni ugali kwa kachumbari watu wanaona sawa tu ilimradi wabadili msosi. Hivi kwani nyie hamuelewi wapi?
Uongozi si nguvu subiri sanduku la kura kama wajumbe wataamua aendelee ataendelea sisi tutabaki tunapiga kelele mitandaoni.
 
Moderators spare this clip

Lisu ni kigeugeu.
Hafai kuwa kiongozi.
Akili zake zimekwenda tenge kidogo amesahau clip hii! akili haiko sawa

Msikilize please maana amewananga wenzake kuhusu Maridhiano, kuhusu Samia kukaribishwa na Bawacha etc etc as if he ws not a party to the ordeal

Lisu nilimpenda sana kuliko wanasia wote, msikilize please! Quinine Bezecky Moisemusajiografii Minjingu Jingu 4 7mbatizaji

"TUNDU LISSU WAWILI HAWA WAKIKUTANA WATAELEWANA?

View: https://youtu.be/rTWpnMO7kto?si=54k-QsjtgmlxtnQw

Pascal Mayalla tafadhali sikiliza hiyo

Kwa sasa kumtetea dj, ni sawa na kujipaka kinyesi, nakushauri upumzike kama lilivyo jina la ID yako.
 
Kwa sasa kumtetea dj, ni sawa na kujipaka kinyesi, nakushauri upumzike kama lilivyo jina la ID yako.
stop that nonsense, umejibu hoja, jibu hoja za kwenye clip. Wafu ndio wamepumzika, walio hai bado, we have some duties to attend!
 
Unajikurupukia tu, Lissu juzi alieleza vizuri sana kuhusu hayo. Ni chizi tu anaweza asimuelewe. Kwamba Bawacha hawakuwahi kumkaribisha Samia kwenye sherehe yao. Hata CC walishangaa ilitokea wapi hata tuzo ya amani hawajui ilipotokea. Ikabainika kumbe ni Mbowe ali engineer, ikabidi wamtunzie aibu mwenyekiti. Sasa wewe ungejibu kwa hoja.
Asanteee (in Zung's Voice). Hawa jamaa wanahangaika bure kujaribu kumchafua Lisu.

Na kadri wanavyopambana na hoja za Lisu ndiyo wanazidi kuchafuka wao zaidi.
 
Back
Top Bottom