Msikiti wa Al Aqsa utavunjwa muda si mrefu

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Maandalizi ya ujenzi wa hekalu la Suleiman uko tayari. Vifaa, budget vyote viko tayari
Hekalu hili litajengwa eneo ambalo sasa hivi kuna msikiti wa Alqsa.

Utaratibu wa ujenzi utafanyika baada ya eneo hilo kutakaswa. Katika desturi za wa Israel eneo hilo hutakaswa kwa kutumia majivu ya ng'ombe mwekundu asiyekuwa na doa lolote. Na ng'ombe Huyo tayari alishazaliwa 2017.

Hekalu hili litajengwa muda wowote kuanzia sasa na msikiti wa Alqsa utabomolewa kupisha huu ujenzi

Aqsa.jpg
 
Wakiubomoa utakuwa ndiyo mwanzo wa mwisho wa dunia
Huo msikiti utavunjwa vizuri kabisaa na hii ni baada ya peace treaty ya 7 years kusainiwa ambapo mpinga kristo atafanikiwa kusainisha mkataba huu na moja ya makubaliano ni kuwa msikiti wa waislamu uvunjwe hekalu la wayahudi lijengwe infact kila mtu atashangaa why imewezekana ila kwa kuwa mpinga kristo atakuwa na uvuvio wa kishetan na kwa kuwa Mungu ameruhusu itawezekana bad thing is kwa watakaokuwepo duniani those days ndo watajua nini maana ya ghadhabu ya Mungu. Maana ile kitu biblia inaita dhiki ya Yakobo ndo itatimia hivyo kuna ukweli fulani kuwa wewe unasema ndo mwanzo wa mwisho wa dunia. Na kwa mara ya kwanza Israel itaacha kujilinda kwa 100% why maana kuna amani hivyo why kujilinda? Baada ya miaka 3.5 mpinga kristo atavunja mkataba ambapo atajitangaza yeye ndo Mungu na atalinajisi hekalu jambo hili litawaudhi wayahudi hawatakubali kumuabudu mtu ndipo mateso makali sana kwa wayahudi yatakapotokea na yatadumu kwa miaka 3.5 ndipo Yesu Kristo atakapotokea kuwaokoa na ndipo sasa watamkubali. Kwa wale watakaokuwepo duniani siku hizo pole yao tena pole kubwa sanaaa.
 
Vifungu?
 
Hizi bangi muwe mnachambua sio kuchanganya humo mbegu na makushabu
 
There is no need to, na hata Israel wanailinda Jerusalem na Iron Dome, mara kadhaa Maroketi ya Hamas yamekuwa yakiangushwa yakiwa yamelenga Jerusalem
 
Huo msikiti utavunjwa vizuri kabisaa na hii ni baada ya peace treaty ya 7 years kusainiwa ambapo mpinga kristo atafanikiwa kusainisha mkataba huu na moja ya makubaliano ni kuwa msikiti wa waislamu uvunjwe hekalu la wayahudi lijengwe infact kila mtu atashangaa why imewezekana ila kwa kuwa mpinga kristo atakuwa na uvuvio wa kishetan na kwa kuwa Mungu ameruhusu itawezekana bad thing is kwa watakaokuwepo duniani those days ndo watajua nini maana ya ghadhabu ya Mungu. Maana ile kitu biblia inaita dhiki ya Yakobo ndo itatimia hivyo kuna ukweli fulani kuwa wewe unasema ndo mwanzo wa mwisho wa dunia. Na kwa mara ya kwanza Israel itaacha kujilinda kwa 100% why maana kuna amani hivyo why kujilinda? Baada ya miaka 3.5 mpinga kristo atavunja mkataba ambapo atajitangaza yeye ndo Mungu na atalinajisi hekalu jambo hili litawaudhi wayahudi hawatakubali kumuabudu mtu ndipo mateso makali sana kwa wayahudi yatakapotokea na yatadumu kwa miaka 3.5 ndipo Yesu Kristo atakapotokea kuwaokoa na ndipo sasa watamkubali. Kwa wale watakaokuwepo duniani siku hizo pole yao tena pole kubwa sanaaa.
Wewe utakuwa wapi?
 
Back
Top Bottom