Msikiti wa Al Aqsa utavunjwa muda si mrefu

Maandalizi ya ujenzi wa hekalu la Suleiman uko tayari. Vifaa, budget vyote viko tayari
Hekalu hili litajengwa eneo ambalo sasa hivi kuna msikiti wa Alqsa.

Utaratibu wa ujenzi utafanyika baada ya eneo hilo kutakaswa. Katika desturi za wa Israel eneo hilo hutakaswa kwa kutumia majivu ya ng'ombe mwekundu asiyekuwa na doa lolote. Na ng'ombe Huyo tayari alishazaliwa 2017.

Hekalu hili litajengwa muda wowote kuanzia sasa na msikiti wa Alqsa utabomolewa kupisha huu ujenzi

tatizo hamjui Siri za Ulimwengu, hekalu la Suleiman halikuwa hapo, mlidanganywa , hapo kwenye msikiti wa al Aqsa lilijengwa hekalu la mungu anaye itwa Jupiter (temple of Jupiter), na alama ya mungu anaye itwa jupiter ni mwezi, crescent [emoji287] moon, Kwa jinsi unavyo waona Wayahudi unadhani wangekubali kuchukua eneo la Temple yao?? sio kweli Tample lazima ijengwe karibu na Maji , unashangaa kwanini katika uislam unaahaidiwa utapata SAYARI huko mbinguni, sasa hiyo SAYARI ni JUPITER

Actually Wayahudi wanaijua hiyo Siri Hawana muda na huo MSIKITI watawaachia tu .....TOKA lini myahudi anachia kitu chake...?? NEVER

READ THE HISTORY TO PROVE THE BIBLE or QURAN you will know the TRUTH
 
😂😂😂😂So utanyakuliwa uchi au ukiwa na nguo
Mwili huu na nguo nitakazokuwa nimevaa siku hiyo vitabaki duniani yaan mwili wangu utabadilishwa na Mungu atanivika mwili mwingine wa utukufu yaan mwili wa mbinguni huo ndo nitaingia nao mbinguni.
 
😂So Mungu wako ana photocopy machine ya mwili na hamsemi...haya bana
 
Mbinguni maana kabla ya dhiki kuu Yesu atakuja kunyakua walio wake nami nikiwemo. Kama ilivyokuwa kwa Nuhu watu waliingia kwenye safina kwanza ndipo Mungu akaadhibu ulimwengu, ndivyo itakavyokuwa wataondolewa kwanza wale walio tayari kwa unyakuo halaf ndo Mungu atamwaga ghadhabu yake. Kama hujatubu dhambi zako na kumpa Yesu maisha yako hima fanya hivyo leo hujachelewa.
Unajua Ili unyakuliwe unapaswa kuwa na kigezo gani Mkuu?
 
😂So Mungu wako ana photocopy machine ya mwili na hamsemi...haya bana
Kubali leo kumpokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako ishi maisha safi kwa msaada wa Mungu hata ukikosea we tubu na hakika siku ikifika unyakuo utakupata na tutakuwa wote mbinguni
 
Unajua Ili unyakuliwe unapaswa kuwa na kigezo gani Mkuu?
Cha kwanza mtu awe amemkubali Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake, kingine awe anaishi maisha ya utakatifu, kingine awe tayari ili Bwana Yesu anaporudi mawinguni basi mtu huyu aisikie sauti ya parapanda, na ya malaika mkuu na awe tayari kwa mwaliko wa bwana Yesu. Kumbuka sio wote waliomkiri Yesu wanaamini katika unyakuo na kwa hiyo hawapo tayari kwa tukio hilo kubwa na la kihistoria lililo tayari kutokea muda wowote. Na kwa hiyo watabaki hapa duniani na kupitia mateso ya dhiki kuu.
 
Msikiti hautavunjwa ila Mpinga Kristo ataleta Nguruwe humo misikitini ambaye ni Chukizo kwa Waislam na Wayahudi

Watakapokuwa wanampiga yule Pig Ndio watakuwa wanabomoa al aqsa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila mwagito una vituko sana
 
Maandalizi ya ujenzi wa hekalu la Suleiman uko tayari. Vifaa, budget vyote viko tayari
Hekalu hili litajengwa eneo ambalo sasa hivi kuna msikiti wa Alqsa.

Utaratibu wa ujenzi utafanyika baada ya eneo hilo kutakaswa. Katika desturi za wa Israel eneo hilo hutakaswa kwa kutumia majivu ya ng'ombe mwekundu asiyekuwa na doa lolote. Na ng'ombe Huyo tayari alishazaliwa 2017.

Hekalu hili litajengwa muda wowote kuanzia sasa na msikiti wa Alqsa utabomolewa kupisha huu ujenzi

Ondoa hayo majini
 
Chanzo cha taarifa?
 
Mwili huu na nguo nitakazokuwa nimevaa siku hiyo vitabaki duniani yaan mwili wangu utabadilishwa na Mungu atanivika mwili mwingine wa utukufu yaan mwili wa mbinguni huo ndo nitaingia nao mbinguni.
Mna story za ajabu sana aisee,tutafute pesa jamani,story kama hizi zinapatikana kwa masikini tu,kujiliwaza.
 
Maandalizi ya ujenzi wa hekalu la Suleiman uko tayari. Vifaa, budget vyote viko tayari
Hekalu hili litajengwa eneo ambalo sasa hivi kuna msikiti wa Alqsa.

Utaratibu wa ujenzi utafanyika baada ya eneo hilo kutakaswa. Katika desturi za wa Israel eneo hilo hutakaswa kwa kutumia majivu ya ng'ombe mwekundu asiyekuwa na doa lolote. Na ng'ombe Huyo tayari alishazaliwa 2017.

Hekalu hili litajengwa muda wowote kuanzia sasa na msikiti wa Alqsa utabomolewa kupisha huu ujenzi

Hilo jambo usitamni kuliona kwenye maisha yako.

Ni kweli unabii unaonyesha kuwa huo msikiti utavunjwa na Hekalu la Suleman litajengwa upya lakini itakuwa ni kali mnoo.

Hilo jambo bora lisitukie muda huu
 
Mwili huu na nguo nitakazokuwa nimevaa siku hiyo vitabaki duniani yaan mwili wangu utabadilishwa na Mungu atanivika mwili mwingine wa utukufu yaan mwili wa mbinguni huo ndo nitaingia nao mbinguni.
Hizi ndizo akili zinazowaweka akina mwamposa mjini,huku wakila bata kama zote,maana kama wajinga wapo basi uhakika wa pesa upo, usitafute hela we kaa subiri unyakuliwe,utanyakuliwa na kibwetere.
 
Vunja Al Aqsa, vunja kila msikiti ila kuvunja jengo hakuvunji imani na mtu

لا إله إلا الله محمد رسول الله lā ʾilāha ʾillā-llāh, muḥammadun rasūlu-llāh.
 
Back
Top Bottom