Msikiti wa Al Aqsa utavunjwa muda si mrefu

Hakuna Haja Ya Kusema Sana, Muda Unakujaa Kasi Sana
 
Na ndipo ule mwisho utakapo fika🀐
 
Wewe utakuwa wapi?
Mbinguni maana kabla ya dhiki kuu Yesu atakuja kunyakua walio wake nami nikiwemo. Kama ilivyokuwa kwa Nuhu watu waliingia kwenye safina kwanza ndipo Mungu akaadhibu ulimwengu, ndivyo itakavyokuwa wataondolewa kwanza wale walio tayari kwa unyakuo halaf ndo Mungu atamwaga ghadhabu yake. Kama hujatubu dhambi zako na kumpa Yesu maisha yako hima fanya hivyo leo hujachelewa.
 
Mkuu umeandika vizuri ila kuna uwezekano mkubwa helalu la Suleman lilijengwa mahali ambapo ni pembeni kidogo ya hapo maana kwenye Ufunuo 11:1-2 kuna mahali ile 'behewa iliyopo nje ya hekalu' itaachwa ili mataifa (waislamu) waitumie.

Mimi nahisi sanduku la agano litapatikana sehemu ambapo hekalu lilikuwepo na hapo ndio watajenga. Kwasasa Mungu amewafumba macho wayahudi mpaka wakati mtimilifu.
 
hiyo yote Iko kwenye unabii. yes, ni majira yake haya! Unyakuo wa wateule uko jirani sana! Mungu nisaidie nifae kumlaki Bwana mawinguni. Amen.


JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Ukivunjwa wajenge choo
 
Kitabu cha Ezekiel kimeeleeza location hadi vipimo vya hilo hekalu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hamna kitu kama hiyo haitawahi tokea.

God bless and protect Israel.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hili trailer ni la movie gani mkuu?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚So utanyakuliwa uchi au ukiwa na nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…