Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Msikiti ukitaka kuvunjwa unavunjwa na hamna mtakachofanya kwani si nguvu za kivita tuu ndio muhimu
 
kwahiyo alikufa akiwa muislam kabla hata uislam haujatokea duniani? unaona una akili kweli?hahahaha
hapn mkuu! Si mpaka leo yupo!! Ivo islamu.usabato nk vilikuwepo mbinguni alikotoka!! Hata kabla hajaja.....ila watu hawakuvijua hii kazi aliwaachia wanafunzi wake!
 
wewe naona ni shetani kabisa, amekujaa moyoni na kuleta ujumbe huo wa kuzimu. nakushauri uwe tayari, andaa maisha yako, Yesu Kristo anarudi muda si mrefu, ataihukumu dunia, utalia na kusaga meno kama hautampokea na kumwamini leo. Mungu akusaidie ujue hili.
unajidanganya hata Yehoshua (yesu) kaka yangu nae muamini wana waibilisi walimuita et Yehoshua (yesu) ni shetani asurubiwe tu tena bila kosa km unavoniita wewe na kunihukumu kwa ujasiri bila kosa.

Huohuo uthubutu na ujasiri ulionao wewe dhidi yangu....naYehoshua (yesu) alisurubiwa ivoivo kwa ujasiri km huu!! Si shangai unanisurubu nae mara ya pili. Uko sahihi kabisa kunifanyia hayo....sababu watangulizi wako walitufanyia hayo tukawasamehe....
leo unanifanyia tena km baba zako walivo fanya nakusamehe bure tu! Tembea kwa amani ya Bwana.

Kwa sababu damu za vitukuu za walio msurubisha Yehoshua yesu bado ziko humu wewe ni mmoja wao!!

Ila narudia km alivo sema Yehoshua wangu " Mungu akusamehe hujui ulitendalo". Amini neno litasimama.

Km Yehoshua anasaga meno kuzimu na mie ntasaga tena sana tu hkn shida.
 
hapn mkuu! Si mpaka leo yupo!! Ivo islamu.usabato nk vilikuwepo mbinguni alikotoka!! Hata kabla hajaja.....ila watu hawakuvijua hii kazi aliwaachia wanafunzi wake!
ukristo umekuja baada ya Yesu kupaa mbinguni, ndio wafuasi wake yaani wafuasi wa Yesu Kristo, wakaanza kuitwa wakristo. baada ya miaka 500 hivi ndio Mtume akaanzisha dini ya kiislam. sasa akili gani itakuja leo iseme uislam ulikuwepo kabla ya Mtume?
 
soma uelewe vilikuwepo mbinguni.
Ukristo wa vatican ulilazimishwa na mfalme wa Roma. Kifo au uamini Roma na wengi walikufa ajili ya imani yao.
 
Msikiti ukitaka kuvunjwa unavunjwa na hamna mtakachofanya kwani si nguvu za kivita tuu ndio muhimu
Kuna ujasiri unaitwa "MUAQAMA" ni wa aina yake ambao HAMAS na ISLAMIC JIHAD wanaoutumia, WAYAHUDI wanauogopa mithili ya mbwa mwitu, basi wazayuni wataonyeshwa nguvu hizo na kukiona CHAMTEMA KUNI!
 
Kuna ujasiri unaitwa "MUAQAMA" ni wa aina yake ambao HAMAS na ISLAMIC JIHAD wanaoutumia, WAYAHUDI wanauogopa mithili ya mbwa mwitu, basi wazayuni wataonyeshwa nguvu hizo na kukiona CHAMTEMA KUNI!
Nakwambia hivi watu wenye nguvu za kivita wakiamua hata kuvunja makka inavunjwa na hamna chochote kitafanyika. Hata waislamu wangekuwa na nguvu kama zamani wangevamia vatican na kugeuza msikiti na hamna kitu wazungu wangefanya duniani hapa ni nguvu zinaamua nini kifanyike
 
Israelis Reportedly Allowed to Pray on the Temple Mount. Several Jewish people could be seen praying on the Temple Mount over the weekend; In addition to prayer, it’s reported that even Torah teachings have taken place; Cherki: The change in policy is “a revolution, unfolding quietly and gradually under the radar.” On what is the eve of Tisha B’Av, one of the saddest days [...]

The post Israelis Reportedly Allowed to Pray on the Temple Mount appeared first on Behold Israel .

Ni suala na muda tu na sasa naona kama majira yashatimia.

Tutajua kilianza HEKALU au msikiti?View attachment 1857741
View attachment 1859317

View attachment 1859318
NDUGU MPOST THREAD HIZO NI NDOTO ZA MCHANA JUA KALI.
TOKA AINYAKUE JERUSALEM SIO MARA YA KWANZA ISRAEL KUSEMA ATABOMOA BAITUL MAQDIS.
ILA HATHUBUTU NA HATOTHUBUTU.
UKITAKA KUJUA WAARABU WANA ITIKADI KALI GUSA AMA HARIBU MAENEO YA KIHISTORIA YA UISLAM .
AL AQSA NI KAABA NDOGO IKIVUNJWA HATA UKUTA MMOJA NDUGU PATAZUKA VITA KUBWA SANA YA KIDINI AMBAYO HAKUNA TAIFA LITAWEZA KUIZIMA.
USIDHANI KAMA WAISRAEL HAWALIJUI HILO NDIO MAANA TOKA MIAKA YOTE WANAISHIA KUSEMA HAWAFANYI
 
Nakwambia hivi watu wenye nguvu za kivita wakiamua hata kuvunja makka inavunjwa na hamna chochote kitafanyika. Hata waislamu wangekuwa na nguvu kama zamani wangevamia vatican na kugeuza msikiti na hamna kitu wazungu wangefanya duniani hapa ni nguvu zinaamua nini kifanyike
Luna tofauti kati ya mzungu na mwarabu.
Waarabu ni watu wenye visasi vibaya sana kama haujui.
Na visasi vyao haviishi.
Makkah ni kitovu cha waislam wote paguswe kuna Sunnis,shia,ahmadia wote umewachokonoa.
 
Jibu swali ninin kilitangulia acha hadithi
Hakuna ushahidi wa ki archeology unaoonesha km kulikua na hekalu hapo.
Bali kila siku misikiti midogo inavumbuliwa ukiachana na al aqsa .
Al aqsa ilikuwepo na itakuwepo.
Habari za kusema kuna hekalu ni pauka pakawa
 
NDUGU MPOST THREAD HIZO NI NDOTO ZA MCHANA JUA KALI.
TOKA AINYAKUE JERUSALEM SIO MARA YA KWANZA ISRAEL KUSEMA ATABOMOA BAITUL MAQDIS.
ILA HATHUBUTU NA HATOTHUBUTU.
UKITAKA KUJUA WAARABU WANA ITIKADI KALI GUSA AMA HARIBU MAENEO YA KIHISTORIA YA UISLAM .
AL AQSA NI KAABA NDOGO IKIVUNJWA HATA UKUTA MMOJA NDUGU PATAZUKA VITA KUBWA SANA YA KIDINI AMBAYO HAKUNA TAIFA LITAWEZA KUIZIMA.
USIDHANI KAMA WAISRAEL HAWALIJUI HILO NDIO MAANA TOKA MIAKA YOTE WANAISHIA KUSEMA HAWAFANYI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini kilianza kuwepo Msikiti au HEKALU??
 
Thatha!! hapa ndo penye uhafifu wa akili!! Kwani akifa ndo hakuwa mwislamu bana???

Alikufa akiwa muislamu...

Yeees!! Ni kweli huyo yesu wenu kwanza ni mzungu!!

Mnajipendekeza bure tu.. Hakuwepo na kamwe haji ng'oo mtasubiri sana....mpaka mchakae...

Akija Yehoshua wa kweli kuokoa Dunia yaani Isa bin Maliam kamwe nyie hamta muamini mta taka eti mzungu aje..mnamsubiria chalinze mweee!!! Dunia ya leo bado unaamini huu utoporo....

Yes!! Isa bin Maliam /Yoashua ndo tuna maanisha hapa wala hatujakosea tuko ivo!! Utake usitake.....

Kwa taarifa yako hako ka yesu kenu kazeruzeru sijui kazungu hakatuhusu wala hatukataki tena

Hakafanani na Isa bin Maliam hata nukta....na hakaji ng'oo kaongo kale. Kahuni.kabaguzi ka rangi

mungu mwana gani mbaguzi hivo na nyie mnajichekesha tu km majinga...nasema haji hana uwezo wa kupaa mawinguni mtasubiri sana. Waafrica nyani weusi.

Unasubiri kwa furaha na kusifu mtu anae kuita nyani?? Hakupendi ana kuua tu km mbwa.mnyonyaji.abakuletea magonjwa maksudi....asalaleeeh!!

Shetani anawachekaaaaa mpaka anajinyea hadi sasa anawacheka mikristu mijinga.....

Yesu gani huyo kilema wa ngozi?? Hana melanin!! Uongo?? Mmepotea chaka baya ndg zanguni.poleni sana...

Isa wetu ni mweusi tii!! Mohamad pia wamekamilika...

ndo maana Kristian wengi hamfanikiwi ki maisha. Mnaabudu msicho kijua..

Kifupi hamna maarifa......Angalia waislam na wahindi mijengo yooote kariakoo..miji midogo wilayani.mikoani na wilayani ni wao na Isa wao tu....

Biblia yenu haina jina la yesu eti kakijana kazungu!! haaata nipe mstari...mpaka kiama kije mtakuwa mmekoma hasa..no excuse nimeshawaambia mwenye maskio na askie!!!
Upuuzi wenu ni Mitusi tu na sio hoja

Tunawapuuza tu
 
wee!! Wenzako kwanza kabisa jua shetani aliishi mbinguni karibu na kiti cha enzi.Siyo mwenzako yule.

mpaka leo anapiga story na Mungu km kawa.km palee bustanini...
na ana muomba na Mungu ana mjibu...we nani uchukie mtoto aliye umbwa na Mungu??

Km haitoshi hako ka biblia kako kalikochakachuliwa vatican hakana kifungu kinacho sema Mungu ana mchukia shetani... Sasa basi wewe nani uchukie mtoto wa mtu??

Km ungeumbwa kwa mfano wake Mungu ungekuwa km Mungu mwenyewe asivo na chuki na shetani!!!!

Km haitoshi Mungu Hajawaagiza mmchukie shetani umedanganywa na majini wenzio!!

Ndo maana majini yanawapiga Makofi na kuwaroga hovyo! Hamna maarifa...

Ni upungufu wa maarifa kudhania Mungu ni mali yako binafsi rejea kisa cha Ayubu chote kisome..

majini kujifanya yanakimbia yanawazuga ili muendelee kuwa kwenye dimbwi la umaskini na ujinga ili msijue ukweli!!! Funguka
Biblia yako tu imechakachuliwa!! Unabisha...
Yaani hapa ndio unadhihirisha dini yako ni YAKISHETANI!
 
wewe naona ni shetani kabisa, amekujaa moyoni na kuleta ujumbe huo wa kuzimu. nakushauri uwe tayari, andaa maisha yako, Yesu Kristo anarudi muda si mrefu, ataihukumu dunia, utalia na kusaga meno kama hautampokea na kumwamini leo. Mungu akusaidie ujue hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1756][emoji1756] achana na lishehe__ shehena
 
Acheni utani jamani ... Jana nimetoa laki mbili na arobaini..... Nimekatwa shilingi 8240.... Chozi lilinitoka.....
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26] pole mkuu siku nyingine mtume boda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nini kilianza kuwepo Msikiti au HEKALU??
Labda kaka tuweke dini pembeni nikujibu vizuri.
Siku zote kuna ushahidi wa kihistoria eidha wa kimaandishi au wa kitafiti.
Hakuna ushahidi wa kitafiti unaoonesha kuwa pale kulikua kuna hekalu kabla ya msikiti.
Pia watu wqnasema uislamu umeanza 600AD ilhali majangwa ya Israel imevumbuliwa misikiti ambayo inasemekana ilikuwepo toka 500AD na zaidi.
Hao Israel wenyewe wanalijua hilo na ndio archeologists wao wamefanya hivyo.
Sema kwasababu watu tumeamua kuvaa udini na kujiweka vipofu.
 
ukristo umekuja baada ya Yesu kupaa mbinguni, ndio wafuasi wake yaani wafuasi wa Yesu Kristo, wakaanza kuitwa wakristo. baada ya miaka 500 hivi ndio Mtume akaanzisha dini ya kiislam. sasa akili gani itakuja leo iseme uislam ulikuwepo kabla ya Mtume?
Huyu pimbi hana anachikijua au anajisahaulisha mudi alikuja 500+ baada ya Yesu
 
Back
Top Bottom