EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #241
Isaya 9:6 SRUVPunguza maneno weka mstari unaosema nlichouliza...... kama Hamna ndio uelewe mambo mengine ni kuconnect dots tu sio lazma mstari mmoja utoe majibu yote.
Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani.
[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]
Hii ni miliniam kadhaa kabla hajazaliwa
Hoja yako/zenu watoto wa Hajiri ni dhaifu mnataka atamke mwenyewe