Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Suleiman mbona alikua mtoto wa nje? Tena mama yake aliliwa kimasihara ndio akapatikana (jokes)..... mind you mamake alikua Mcanaan ambao mnadai ni wapalestina!! Na bado akawa mfalme wa Israel!!

Unasema mtoto wa masuria..... Hvi unajua mfalme wa Kingdom of Israel yule Rehoboham houseboy tu wa Solomon na bado akapata ufalme?? Mind you alikua yatima....

Acheni ubaguzi wa watoto wa kambo, Mungu habagui kma sisi
Ngoja nikukumbushe tena huyu jamaa ndio alifanya Israel ikawanyika kati ya Yuda na Israel

Jeroboam na Rehoboam

1 Wafalme 12:1-24 BHN

Basi, Rehoboamu akaenda Shekemu ambako Waisraeli wote walikuwa wamekusanyika ili kumtawaza awe mfalme. Naye Yeroboamu mwana wa Nebati alipopata habari kuhusu tendo hilo (maana alikuwa bado Misri ambako alikwenda alipomkimbia Solomoni), alirudi kutoka Misri. Lakini Waisraeli walituma ujumbe na kumwita. Kisha, yeye pamoja na jumuiya yote ya Israeli, walimwendea Rehoboamu, wakamwambia, “Baba yako alitutwisha mzigo mzito. Basi, utupunguzie mzigo huo, nasi tutakutumikia.” Naye Rehoboamu akawaambia, “Nendeni, mrudi kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka. Baadaye Rehoboamu alitaka kujua maoni ya wazee ambao walikuwa washauri wa baba yake Solomoni, alipokuwa angali hai, akawauliza, “Je, mnanishauri niwape jibu gani watu hawa?” Wazee hao wakamjibu, “Leo ukiwa mtumishi wa watu hawa, ukawatumikia na kuongea nao vizuri unapowajibu, hapo watakuwa watumishi wako daima.” Lakini Rehoboamu alipuuza shauri la wazee; badala yake akashauriana na vijana wa rika lake ambao walikuwa washauri wake. Basi, akawauliza, “Nyinyi mnatoa shauri gani ili tuweze kuwajibu watu hawa walioniambia niwapunguzie mzigo ambao baba yangu aliwatwika?” Hao vijana wakamjibu, “Watu hao waliokuambia baba yako aliwatwika mzigo mzito, wakakuomba uwapunguzie mzigo huo, wewe waambie hivi: ‘Kidole changu kidogo ni kinene zaidi kuliko kiuno cha baba yangu. Mzigo wa baba yangu ulikuwa mzito, lakini wangu utakuwa mzito zaidi. Baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, lakini mimi nitawapiga kwa mijeledi yenye miiba.’” Basi, siku ya tatu Yeroboamu pamoja na watu wote wakarudi kwa Rehoboamu kama alivyokuwa amewaagiza. Mfalme akawajibu watu hao kwa ukali, akapuuza shauri alilopewa na wazee, akafuata shauri la vijana wenzake, akawaambia, “Baba yangu aliwatwika mzigo mzito, lakini mimi nitaufanya kuwa mzito zaidi. Baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, lakini mimi nitawapiga kwa mijeledi yenye miiba.” Hivyo, mfalme hakuwajali watu kwa sababu jambo hili lilisababishwa na Mwenyezi-Mungu, ili atimize neno lake alilomwambia Yeroboamu mwana wa Nebati, kwa njia ya Ahiya wa Shilo. Lakini watu wote wa Israeli walipoona kwamba mfalme hakuwajali, walimwambia, “Hatuna uhusiano wowote na Daudi! Hatuna sehemu yetu kutoka kwa huyo mwana wa Yese. Rudini nyumbani, enyi watu wa Israeli! Itunze nyumba yako mwenyewe, ee Daudi.” Hivyo, watu wa Israeli wakarudi makwao. Watu wa Israeli waliokuwa wanakaa katika miji ya Yuda, ndio hao tu waliobaki chini ya utawala wa Rehoboamu. Mfalme Rehoboamu alipomtuma Adoramu, aliyekuwa mnyapara mkuu wa kazi za kulazimishwa, watu wote wa Israeli walimpiga mawe, wakamuua. Naye Rehoboamu alipanda haraka gari lake la kukokotwa, akakimbilia Yerusalemu. Hivyo watu wa Israeli wamekuwa katika hali ya uasi dhidi ya ukoo wa Daudi mpaka leo.
 
Jerusalem ina maana Mji wa Amani na Salem ni simply Amani. Sasa Bible hyo hyo iwe na miji miwili mitakatifu na yote iitwe AMANI?? let's be real, Salem ndio transliterated as Jerusalem. Ndio maama hapo mji mtakatifu umeitwa Salem na kwingine unaitwa JerusalemView attachment 1878306
Mkuu njoo na andiko la Salem kuwa Jerusalem acha kona kona
 
Mkuu njoo na andiko la Salem kuwa Jerusalem acha kona kona
Hiyo ni history ni sawa na nikwambie andiko linalosema Emmanuel ndio Yesu!! Hutolipata au mstari unaosema MIMI YESU NI MUNGU! Haupo na hautakuwepo ila unasoma mistari kadhaa ndio unafikia conclusion.

Wewe unayebisha katafute basi huko Google Kwamba mji unaoitwa Salem leo hii ni wapi?? Ukipata jibu tofauti ntajitoa JF
 
Yesu ni Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]

Yn 1:1-14 SUV

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
 
Ngoja nikukumbushe tena huyu jamaa ndio alifanya Israel ikawanyika kati ya Yuda na Israel

Jeroboam na Rehoboam

1 Wafalme 12:1-24 BHN
1 wafalme 11:31
Akamwambia Yeroboamu, Twaa wewe vipande kumi, maana BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nitaurarua ufalme, na kuuondoa katika mkono wa Sulemani, nami nitakupa wewe kabila kumi.

So Mungu ndio alimpa Jeroboham huo ufalme..... Huyo huyo Yatima na houseboy wa mfalme!!*
 
Mt 1:21 SUV

Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.

SUV: Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo
 
1 wafalme 11:31
Akamwambia Yeroboamu, Twaa wewe vipande kumi, maana BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Nitaurarua ufalme, na kuuondoa katika mkono wa Sulemani, nami nitakupa wewe kabila kumi.

So Mungu ndio alimpa Jeroboham huo ufalme..... Huyo huyo Yatima na houseboy wa mfalme!!*
Nioneshe huo UKAMBO kwa maandiko
 
Yesu ni Mungu[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]

Mathayo 1:23 SRUV

Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, MUNGU pamoja nasi.
 
Yesu ni Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]

Yn 1:1-14 SUV

Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu. Nayo nuru yang’aa gizani, wala giza halikuiweza.
Hujaelewa swali.... Yaani sio mtu anamuelezea ila Yesu mwenyewe anasema MIMI YESU NI MUNGU!!

Huo mstari haupo ila tuna connect dots tu kupata jibu..... Mfano Hapo wamesema neno so ukisoma mstari wa 14 unasema Neno alifanyika mwili, alikaa kwetu ndio una conclude kuwa Yesu ni Neno.... Na Neno ni Mungu!!

Same to Salem ipo Sayuni.... Na Jerusalem ipo sayuni...... So Salem = Jerusalem!! Biblia ndio inasomwa hivyo kwa mistari pacha sio kamstari kamoja kujibu pattern zote!!
 
Kwani kabda hajazaliwa maandiko si yalikuwepo?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Huna hoja hapa
 
1 Kings 11:26
Usijitoe ufahamu[emoji1312][emoji1312]
Screenshot_20210803-123340_Chrome.jpg
 
Usijitoe ufahamu[emoji1312][emoji1312]View attachment 1878340
Hoja hapa ilikua Mtoto wa nje hawezi kupata baraka n.k ndio nikakujibu mbona houseboy wa Suleiman alikuwa mfalme na alikua yatima??

More so Solomon mwenyewe alikua mtoto wa nje? Na bado akawa mfalme?

Sasa ambacho hukuelewa hapo ni nini?? Au ulidhani nmesema Jeroboam ni mtoto wa suleimani?? Kasome upya hiyo post umejichanganya
 
Back
Top Bottom