EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #301
Ngoja tuone huo ujasiri mbele ya mtutuKuna ujasiri unaitwa "MUAQAMA" ni wa aina yake ambao HAMAS na ISLAMIC JIHAD wanaoutumia, WAYAHUDI wanauogopa mithili ya mbwa mwitu, basi wazayuni wataonyeshwa nguvu hizo na kukiona CHAMTEMA KUNI!
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji28][emoji28][emoji28]Nakwambia hivi watu wenye nguvu za kivita wakiamua hata kuvunja makka inavunjwa na hamna chochote kitafanyika. Hata waislamu wangekuwa na nguvu kama zamani wangevamia vatican na kugeuza msikiti na hamna kitu wazungu wangefanya duniani hapa ni nguvu zinaamua nini kifanyike
Achana na kitu inaitwa silaha mtakaa tuLuna tofauti kati ya mzungu na mwarabu.
Waarabu ni watu wenye visasi vibaya sana kama haujui.
Na visasi vyao haviishi.
Makkah ni kitovu cha waislam wote paguswe kuna Sunnis,shia,ahmadia wote umewachokonoa.
Acha ujingaHakuna ushahidi wa ki archeology unaoonesha km kulikua na hekalu hapo.
Bali kila siku misikiti midogo inavumbuliwa ukiachana na al aqsa .
Al aqsa ilikuwepo na itakuwepo.
Habari za kusema kuna hekalu ni pauka pakawa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] leta ushahidiUshakosea dini ya msikiti ilikuwepo toka miaka ya nyuma kabla ya kristo.
We jamaa bhana?? Kwamba nini maana ya mlima ulipo msikiti kuitwa TEMPLE MOUNT??Labda kaka tuweke dini pembeni nikujibu vizuri.
Siku zote kuna ushahidi wa kihistoria eidha wa kimaandishi au wa kitafiti.
Hakuna ushahidi wa kitafiti unaoonesha kuwa pale kulikua kuna hekalu kabla ya msikiti.
Pia watu wqnasema uislamu umeanza 600AD ilhali majangwa ya Israel imevumbuliwa misikiti ambayo inasemekana ilikuwepo toka 500AD na zaidi.
Hao Israel wenyewe wanalijua hilo na ndio archeologists wao wamefanya hivyo.
Sema kwasababu watu tumeamua kuvaa udini na kujiweka vipofu.
Unajua kaka tuachage ushabiki tuongee fact.Achana na kitu inaitwa silaha mtakaa tu
Asa unaniambia hadithi nipe vivid evidence ya unachoongea.We jamaa bhana?? Kwamba nini maana ya mlima ulipo msikiti kuitwa TEMPLE MOUNT??
HEKALU NA SULEMAN LILIKUWA WAPI??
WE NDIO UNAJUA ARCHIOLOGY kuliko wazawa??
Hata kiashiria kisiwepo chochote aaah sio kweli???We jamaa bhana?? Kwamba nini maana ya mlima ulipo msikiti kuitwa TEMPLE MOUNT??
HEKALU NA SULEMAN LILIKUWA WAPI??
WE NDIO UNAJUA ARCHIOLOGY kuliko wazawa??
Hao waarabu walioizunguka Israel nduo hao hao waliopigwa kwa siku6 je saivi nguvu ya Israel ilivyo nani atasimama? Iran?Unajua kaka tuachage ushabiki tuongee fact.
Mimi najua waarabu hawana nguvu kwasababu hawana elimu wala teknolojia na pia hawana mshikamano kwasababu ya utofauti wa madhehebu ya kidini ndio maana ni rahisi kuwashambulia.
Maana taifa lenye nguvu ni Iran pekeake labda na Uturuki na tofauti na hapo kuna vijikundi mara Hezbollah Mara hamas .
Ila Israel ana allies wenye nguvu kiufupi NATO.
Ila muangalie Israel amekaa ktk location gani.
Kazungukwa na mataifa hasimu yote Lebanon,Jordan,Iran,Syria .
Na kitu kufa kwa waarabu ni chakawaida.
Ndiomaana wale jamaa hawaoni shida kujilipua.
Na tabu inakuja al aqsa sio km misikiti meengine bali ni msikiti wa kihistoria.
Ukiguswa watu wanaweka kila kitu pembeni na ukitaka kujua vita na hawa vikundi vya wafia dini ya kiislam ni mbaya rejea miaka ya 1990s USA ilipoingia Somalia licha ya Kuwa na jeshi lenye nguvu USA alipigwa na kundi la kawaida la Farah Aided.
Na hiko ni kikundi kimoja kilimfanya USA kusalimu amri na kuondoa majeshi yake.
Sikwambii Israel kazungukwa na vikundi vingapi na mpaka msaada uje its too late.
INAPOKUJA SABABU YA KIDINI WAARABU HUWEKA TOFAUTI PEMBENI.
Kipo unajitoa ufahamu tuHata kiashiria kisiwepo chochote aaah sio kweli???
A 3,000-year-old defensive wall possibly built by King Solomon has been unearthed in Jerusalem, according to the Israeliarchaeologist who led the excavation. The discovery appears to validate a Bible passage, she says.Asa unaniambia hadithi nipe vivid evidence ya unachoongea.
Usiniletee km zile hadithi za Nyerere ndiye aliyeanzisha harakati za Uhuru kumbe yeye alikua volunteerer.
Hao waIsrael wanafaham hilo ila ni ubabe umewajaa.
Unashindwa kuelewa kwamba waarabu wasasa sio wale was zamani.Hao waarabu walioizunguka Israel nduo hao hao waliopigwa kwa siku6 je saivi nguvu ya Israel ilivyo nani atasimama? Iran?
Kwanza huyu saivi ndio target soon watu wanalipua anatafutwa na hachomoki
Misri hataki hata kuisikia Israel baada ya "kuchakazwa" mwaka 73 October. Kabaki kuwa mpatanishi wa waarabu vs Israel
Nani mwingine mwenye nguvu Saudia???
Nyie wabongo hizo mambo za kukopi habari km ilivyo na kuposti zitawakosti.A 3,000-year-old defensive wall possibly built by King Solomon has been unearthed in Jerusalem, according to the Israeliarchaeologist who led the excavation. The discovery appears to validate a Bible passage, she says.
The tenth-century B.C. wall is 230 feet (70 meters) long and about 6 meters (20 feet) tall. It stands along what was then the edge of Jerusalem—between the Temple Mount, still Jerusalem's paramount landmark, and the ancient City of David, today a modern-day Arab neighborhood called Silwan.
The stone barrier is part of a defensive complex that includes a gatehouse, an adjacent building, and a guard tower, which has been only partially excavated, according to Eilat Mazar, who led the dig for the Hebrew University of Jerusalem.
Over the years, the structures have been partially demolished—their building materials scavenged for later structures—and what remained was buried under rubble, Mazar said.
The Bible's First Book of Kings—widely believed to have been written centuries after the time period in question—says Solomon, king of Israel, built a defensive wall in Jerusalem. The new discovery is the first archaeological evidence of this structure, Mazar says.
(Related: "King Solomon's Mines Rediscovered?")
Bearing Out a Bible Passage?
Ancient artifacts found in and around the complex pointed Mazar to the tenth-century B.C. date.
"We don't have many kings during the tenth century that could have built such a structure, basically just David and Solomon," she said.
According to the Bible, King David, of David-and-Goliath fame, was the father of King Solomon, who is said to have built the First Temple of Jerusalem on the Temple Mount.
Ceramics found near the wall helped narrow the date down, being of a level of sophistication common to the second half of the tenth century B.C.—King Solomon's time, according to Mazar.
Three-foot-tall (one-meter-tall) earthenware storage vessels were found near the gatehouse, one of them with a Hebrew inscription indicating the container belonged to a high-ranking government official.
Figurines typical of tenth-century B.C. Jerusalem—including four-legged animals and large-breasted women likely symbolizing fertility—were also uncovered, as were jar handles bearing impressions reading "to the king" and various Hebrew names, she said.
The artifacts may hint at the area's street life in biblical times. Here ancient Jerusalemites would have gathered around the wall's city gate to trade, settle disputes via street-side judges, engage in ritual practices, and stock up on water and supplies for treks out of the city, Mazar said.
(Also see "Solomon's Temple Artifacts Found by Muslim Workers.")
How Reliable Is the Bible?
Tel Aviv University archaeologist Israel Finkelstein, who was not involved in the excavation, agrees that it's possible King Solomon constructed the wall.
But Finkelstein cautioned against leaning too heavily on the Bible to interpret the findings. (Related travel blog post: "In Israel, the Bible Is our GPS.")
Familiarity with religious or historic texts connected to any given site is important, he said, but their usefulness can vary.
"It depends upon the text. Each has its own characteristics, each needs to be approached differently," he said. "There is the question as to when it was written—300 years after, or at the time of the events? What are its goals and its ideology? Why was it written?"
For her part, Mazar believes it's natural for archaeologists excavating in the Holy Land to consult with biblical texts along with other ancient documents.
"I don't believe there is an archaeologist who would excavate a site upon which texts have been written without being familiar with those texts," she said.
READ THIS NEXT
'World's oldest' coin factory discovered in China
[https://i]
HISTORY & CULTURE

If confirmed, the 2,600-year-old mint could rewrite the history of money.
Why people who already had COVID-19 should get vaccinated
[https://i]
SCIENCE
CORONAVIRUS COVERAGE

A person or a thing? Inside the fight for animal personhood
[https://i]
ANIMALS
WILDLIFE WATCH

The deadliest flower in the insect world is a lifeline to farmers—and the planet
[https://i]
ENVIRONMENT
PLANET POSSIBLE

GO FURTHER
ANIMALS
How extreme heat affects our pets—and how to help them

Here’s why poisonous animals don’t poison themselves

Wild U.S. deer found with coronavirus antibodies

Goliath grouper fishing may be allowed in Florida again

86,000 wild mustangs that roam the West are at the center of raging controversy

How extreme fire weather can cool the planet

This new technology could help cool people down—without electricity

Restoring protections to Bears Ears will likely spark legal fights

More 'good fire' could help California control future catastrophes

Wildfire smoke blowing across the U.S. is more toxic than we thought

These Indigenous children died far away more than a century ago. Here’s how they finally got home.

Halafu sasa watu wenyewe uhakika hawana kila sehemu it's possible it's possible.A 3,000-year-old defensive wall possibly built by King Solomon has been unearthed in Jerusalem, according to the Israeliarchaeologist who led the excavation. The discovery appears to validate a Bible passage, she says.

Una uhakika Misri anaihofia Israel na hataki kuisikia???Hao waarabu walioizunguka Israel nduo hao hao waliopigwa kwa siku6 je saivi nguvu ya Israel ilivyo nani atasimama? Iran?
Kwanza huyu saivi ndio target soon watu wanalipua anatafutwa na hachomoki
Misri hataki hata kuisikia Israel baada ya "kuchakazwa" mwaka 73 October. Kabaki kuwa mpatanishi wa waarabu vs Israel
Nani mwingine mwenye nguvu Saudia???
Umesoma histiria ya OCTOBER WAR?Una uhakika Misri anaihofia Israel na hataki kuisikia???
Kajikumbushie kwanini Mohammed Morsi aliuliwa na akapachikwa kibaraka Elsisi.
Morsi aliwahi kutamka wazi kuaimama dhidi ya Israel na wakati huo Misri ikiwa more advanced mkaka so km Misri ile.
Haya tuone Iran atafanya nini? Mbina kila leo wanasayansi wake na magenerali wanauliwa Tehran anaishia kulalamika na hakuna kitu anafanya?Unashindwa kuelewa kwamba waarabu wasasa sio wale was zamani.
Kumbuka kikundi cha Hezbollah tu Israel anakiogopa.
Wacha nkukumbushe kitu kipindi mapigano ya hamas na Israel yalipotokea June mwaka huu unajua kwann Biden alipeleka military personnel 900 Israel ???
Kiliwaka Jordan alikua anarusha makombora,Hezbollah alikua anarusha makombora,Syria pia alikua akirusha makombora mbaya zaidi Iran ni miongoni mwa mataifa yanaojitengenezea silaha.
Na Hezbollah anafadhiliwa silaha na Iran kikubwa kilichohofiwa ni km Iran angetoa msaada zaidi wa silaha zake Kali km alizowapa houthi Yemeni ambao wanaisumbua Saudi Arabia Israel ingetetema.
Iran ni taifa lengine mbaya zaidi anawachochea chuki na kuwafadhili kijeshi mataifa yanayoizunguka Israel.
Usimwone Biden chizi mpk kutuma usaidizi wa haraka Israel mwaka huu.
Hapo kazi ipoAcheni utani jamani ... Jana nimetoa laki mbili na arobaini..... Nimekatwa shilingi 8240.... Chozi lilinitoka.....
Israel kila mara mpakani wanajeshi wake wanalipuliwa na Hizbollah ambao inafahamika ni Iranian proxy je Israel anafanyaga nini???Haya tuone Iran atafanya nini? Mbina kila leo wanasayansi wake na magenerali wanauliwa Tehran anaishia kulalamika na hakuna kitu anafanya?