Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Wazayuni unafiki,uchokozi na batili ndio unaowafanya waende wakasali hapo, sababu Mussa mfuasi wao wa TORATI hajawahi kusali hapo wanapodai ni hekalu la SOLOMON
[emoji851][emoji851][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha unazi jibu swali
 
Mkuu hii ni mikwara yenu tu. Wayahudi huo msikiti muda ukifika watauvunja na hamtawafanya lolote. Mtaandamana tu huko Lahore, Kidongo chekundu, Tehran, Jakarta, Kabul n.k. Pale Maka na Madina wala hawataandamana kupinga uvunjanji wa Msikiti wa Al Aqsa.

Ni suala la muda tu we kaa mkao wa kuandamana
Siku wazayuni wakivunja uo msikiti ndiyo siku itapotokea vita ya tatu ya dunia!
 
Mkuu hii ni mikwara yenu tu. Wayahudi huo msikiti muda ukifika watauvunja na hamtawafanya lolote. Mtaandamana tu huko Lahore, Kidongo chekundu, Tehran, Jakarta, Kabul n.k. Pale Maka na Madina wala hawataandamana kupinga uvunjanji wa Msikiti wa Al Aqsa.

Ni suala la muda tu we kaa mkao wa kuandamana
Mkuu ole wake! Mzayuni kusubutu kufanya hivyo, akija kuthubutu ndio utakua wakati wa taifa dhaalim la ISRAEL kusambaratika uislam kutawala dunia na myahudi atakapo silimu na kusalimu amri!
 
Mkuu upo serious? Unadhani nchi ipi au waislam wa wapi wataongoza mapambano siku msikiti ukianza kuvunjwa?

Unajua ule msikiti umevunjwa huko India likajengwa hekalu la Wahindu na hakuna Muislam aliyenyanyua mdomo? Itakuwa hivyo hivyo wazayuni watakapovunja msikiti wenu
 
Mkuu tafautisha Msikiti wa AYODHYA uliovunjwa na makafiri wa kihindu na msikiti mtakatifu wa Al-Aqsa wapili kwa utakatifu kwa waislam. Al-Aqsa ukivunjwa wallahi Israel itachimbika!
 
Wazayuni unafiki,uchokozi na batili ndio unaowafanya waende wakasali hapo, sababu Mussa mfuasi wao wa TORATI hajawahi kusali hapo wanapodai ni hekalu la SOLOMON
Yaelekea unaijua vizuri historia ya haya mambo wewe na mleta UZI, hebu tufafanulieni, nini kilitangulia hapo? Msikiti wa Kiislamu au hekaru la Wayahudi? Tunahitaji ilimu hi tusioijua vizuri; ninacho kiona kwasasa mnabishana, tupeni elimu tafadhari
 
Back
Top Bottom