chivala
JF-Expert Member
- Apr 13, 2021
- 772
- 2,332
ninachojua mimi huwezi kukijua ni sharti ni kujulishe au ujulishwe ni anaejua, na wewe utapata kujuaWewe unajua Nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ninachojua mimi huwezi kukijua ni sharti ni kujulishe au ujulishwe ni anaejua, na wewe utapata kujuaWewe unajua Nini?
Kwahiyo baada ya kuja Mo ndio u kageuka kuwa wa kiislamu??? Mo atoke zake jangwani saudia akajimilikishe Miji ya watu[emoji23][emoji23][emoji23] daaa!! Elimu ElimuMkuu ujue pia, kilichoandikwa kwenye QURAN TUKUFU(MSAHAFU MTAKATIFU)hakiwezi kupadilika na itatokea kama kilvyo bainishwa na ALLAH. kwa vile Quds(Jerusalem) ni mji wa kiislam na AL-AQSA ni pahala takatifu na msikiti mtakatifu wa waislam!
Mi sijauliza kama naweza kukijua au nitakijuaje....Mimi nimeuliza simple Tuninachojua mimi huwezi kukijua ni sharti ni kujulishe au ujulishwe ni anaejua, na wewe utapata kujua
Kuna kafiri mmoja enzi za mtume Muhammad (s.a.w) jina ABILAHAB, alkuwa haabilki wala haamini na afariki na uhahili, waarabu wakampa jina la ABUJAHIL(baba wa majahili) nadhani kisa hiki kitakusaidia kwa namna fulani mkuuMi sijauliza kama naweza kukijua au nitakijuaje....Mimi nimeuliza simple Tu
Wewe unajua Nini?
Narudia tena siku uo msikiti ukivunjwa vita ya tatu itaanza! Japo mi mi mkristu ila uo ndo ukweliWe jamaa hakuna kitu watafanya watalialia watanyaza kama kawaida yao
Mkuu hayo nimadini tosha uliotema, shukran!Narudia tena siku uo msikiti ukivunjwa vita ya tatu itaanza! Japo mi mi mkristu ila uo ndo ukweli
Kuna kafiri mmoja enzi za mtume Muhammad (s.a.w) jina ABILAHAB, alkuwa haabilki wala haamini na afariki na uhahili, waarabu wakampa jina la ABUJAHIL(baba wa majahili) nadhani kisa hiki kitakusaidia kwa namna fulani mkuu
Al Aqsa imejengwa baada ya mskoti original wa Suleiman kuvunjwa na Warumi mwaka 70 AD. Warumi walifanywa nini?Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Vita ya 3 itaanza endapo China Na Urusi Na Korea wataona Kuna faida kuingilia...ila wakikaa kimya labda Iran Na Israel Tu ndo kutatokea mtafaruku ila wengine waliyobaki wataweka mikia katikati ya miguuNarudia tena siku uo msikiti ukivunjwa vita ya tatu itaanza! Japo mi mi mkristu ila uo ndo ukweli
Mndengereko mwenzangu tulia tafuta ugali wa wanao wale washibe usubiri siku ya kufa upumzike unajitunisha hapa wakati hata wakibomoa leo passport ya kusogea hapo Somalia huna huoni unapoteza muda wako?Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Musa hakufika Israel ulitaka asali vipi?Wazayuni unafiki,uchokozi na batili ndio unaowafanya waende wakasali hapo, sababu Mussa mfuasi wao wa TORATI hajawahi kusali hapo wanapodai ni hekalu la SOLOMON
Pia usisahau kama na Uislam ulianzishwa na hao wa Roma ili kuyateka maeneo yote hayo na hata kuubomoa huo msikiti ni baraka kutoka kwao ili kusimamamisha kile wakitakacho. Kinacho tengenezwa saivi ni dunia yote iwe na dini moja.Najibu! Roma zamani (Vatican)ilikuwa makao makuu ya miungu ya warumi, leo hii ni makao makuu ya Christian Roman catholic church na kanisa kuu ST. PETER ndio limejengwa hakuna tena habari ya miungu ya WARUMI. basi na hekalu la SOLOMON nalo lipo kihivo hakusalia Mosses wala JESUS, sasa iweje leo wazayuni wadai kuwa ni sehemu yetu takatifu nawakati MUHAMMAD kaujenga msikiti mtakatifu na wao walikua wapi?
Mdegereko mwenzangu vipi tena umelewa na tokomile? Mwanakwetu tupo Israel, huko unakotupeleka Somalia kunani tena?Mndengereko mwenzangu tulia tafuta ugali wa wanao wale washibe usubiri siku ya kufa upumzike unajitunisha hapa wakati hata wakibomoa leo passport ya kusogea hapo Somalia huna huoni unapoteza muda wako?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji12][emoji12] nadhan 80% msg hii ni kweliMndengereko mwenzangu tulia tafuta ugali wa wanao wale washibe usubiri siku ya kufa upumzike unajitunisha hapa wakati hata wakibomoa leo passport ya kusogea hapo Somalia huna huoni unapoteza muda wako?
Wayahudi Ni wafuasi wa Mungu wao...waislam Ni wafuasi wa Muhammad...Hence the differenceWayahudi wao ni wafuasi wa Torati ya Mussa sio wafuasi wa Mfalme Suleyman na enzi za Suleyman zimepitwa na wakati ikiwa wakidai hapo lilikuepo hekalu la mfalme Suleyman.
Hahaha kumbe misikiti inatofautiana ubora?Mkuu tafautisha Msikiti wa AYODHYA uliovunjwa na makafiri wa kihindu na msikiti mtakatifu wa Al-Aqsa wapili kwa utakatifu kwa waislam. Al-Aqsa ukivunjwa wallahi Israel itachimbika!
mzee acha kuwachukulia israel kiivoThubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
uislam umtawale nan?Mkuu ole wake! Mzayuni kusubutu kufanya hivyo, akija kuthubutu ndio utakua wakati wa taifa dhaalim la ISRAEL kusambaratika uislam kutawala dunia na myahudi atakapo silimu na kusalimu amri!
Hilo linawahusu vipi Wayahudu wenye eneo lao ambalo lilivamiwa na kujengwa huo msikiti?Huu msikiti ni the second holliest place in islam, litambue hilo kabla hujapost thread yako.