Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Kwani mm nimesema nataka uni-convince ?.... Kukubali au kutokukubali hilo ni juu yangu
Kuna Undeniable facts...mtu akiishi pangoni anaweza bisha hamna jua..ukimtoa akaliona mwenyewe atabisha?
Sasa kumtoa kumuonesha hiyo Ni juhudi ya 100%...kumuonesha kwenye simu picha ya jua Ni juhudi ya 30%...kumuaminisha Kwa maneno tupu Na kuapa wallahi Ni juhudi 10%
 
Okay.... Ukileta ushahidi nitag..

Nipo..
 
Nilikwambia kuwa sihitaji uni-convince.... Weka ushahidi tu inatosha kwa faida ya wote.
 
Haja ipo kwasababu mm nimedai ushahidi peke yake , sijataka uni-convince...

We unajuaje kwamba hakuna mwengine anayetaka ? Kwani nini lengo la JF ?
Sasa mtu kaomba chakula unamuuliza una njaa Sana au kidogo?ili ujue unampimiaje chakula....anakataa kusema Tena anasema kabisa hataki hata Kula,,utampa chakula?

We unajuaje Kuna mwingine jF mwenye njaa kama yako?
 
Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Hizo ni ndoto Mkuu! Amini usiamini Msikiti huo unaenda kubomolewa.Not longer time to come.stay tuned.
 
Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
hakika hawajajua makusudio ya kuumbwa ambayo yamezingatia maisha baada ya maisha haya ya muda kuelekea maisha yasio mwisho!
 
Wewe unajuaje kwamba chakula utachompimia kitamtosha ?? ....

Huu mfano hauna uhusiano na mjadala

We unajuaje kwamba hakuna ?

kwasababu Ninajua wastani wa ulaji wa binadamu
Mfano unauhusiano Tena 1:1
Mimi sijawaona,,Wewe unajuaje kwamba WaPo?
 
Mkuu upo serious? Unadhani nchi ipi au waislam wa wapi wataongoza mapambano siku msikiti ukianza kuvunjwa?

Unajua ule msikiti umevunjwa huko India likajengwa hekalu la Wahindu na hakuna Muislam aliyenyanyua mdomo? Itakuwa hivyo hivyo wazayuni watakapovunja msikiti wenu
🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
 
Mkuu tafautisha Msikiti wa AYODHYA uliovunjwa na makafiri wa kihindu na msikiti mtakatifu wa Al-Aqsa wapili kwa utakatifu kwa waislam. Al-Aqsa ukivunjwa wallahi Israel itachimbika!
Mkuu unavyojiapiza utafikiri huo msikiti ukivunja wewe utasogeza haya ukucha
 
Mkuu ujue pia, kilichoandikwa kwenye QURAN TUKUFU(MSAHAFU MTAKATIFU)hakiwezi kupadilika na itatokea kama kilvyo bainishwa na ALLAH. kwa vile Quds(Jerusalem) ni mji wa kiislam na AL-AQSA ni pahala takatifu na msikiti mtakatifu wa waislam!
Jerusalemu ni mji wa kiislam??????

mmeshafurushwa na mnazidi kuondolewa na mtaisha soon
 
Back
Top Bottom