pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Waisrael humtambua Suleiman kama Baba yao amini hilo, naona waislam mnataka kujimilikisha hyu nabii kumfanya wenu wakati wanae wapo 🤣Wayahudi wao ni wafuasi wa Torati ya Mussa sio wafuasi wa Mfalme Suleyman na enzi za Suleyman zimepitwa na wakati ikiwa wakidai hapo lilikuepo hekalu la mfalme Suleyman.